Achimwene2014 Senior Member Joined Jul 15, 2017 Posts 149 Reaction score 161 Oct 29, 2024 #1 Wakuu kuna dada mmoja anajihusisha na uuzaji wa simu za Infinix ila simkumbuki na uzi wake sijaupata humu jf. Hivyo kama bado anaendelea na huduma hii naomba tuwasiliane. Nawasilisha.
Wakuu kuna dada mmoja anajihusisha na uuzaji wa simu za Infinix ila simkumbuki na uzi wake sijaupata humu jf. Hivyo kama bado anaendelea na huduma hii naomba tuwasiliane. Nawasilisha.
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,008 Reaction score 17,480 Oct 29, 2024 #2 Unatafuta mdada au unatafuta simu? Njoo nikuuzie Samsung a04s 128gb ram 4gb bado mpya nimeitumia miezi 3!
Unatafuta mdada au unatafuta simu? Njoo nikuuzie Samsung a04s 128gb ram 4gb bado mpya nimeitumia miezi 3!
Achimwene2014 Senior Member Joined Jul 15, 2017 Posts 149 Reaction score 161 Oct 29, 2024 Thread starter #3 Morning_star said: Unatafuta mdada au unatafuta simu? Njoo nikuuzie Samsung a04s 128gb ram 4gb bado mpya nimeitumia miezi 3! Click to expand... Mkuu, mhusika anahitaji zaidi Infinix.
Morning_star said: Unatafuta mdada au unatafuta simu? Njoo nikuuzie Samsung a04s 128gb ram 4gb bado mpya nimeitumia miezi 3! Click to expand... Mkuu, mhusika anahitaji zaidi Infinix.
dikir kab can JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,190 Reaction score 4,314 Oct 31, 2024 #4 Miss Natafuta unaitwa huku..