kichwakipana
JF-Expert Member
- Jun 18, 2013
- 206
- 45
Anahitajika mtu wa kuuza duka la dawa, Lazima awe anaishi jirani na eneo duka lilipo, mbezi mwisho, mbezi msakuzi, makabe na Msumi
0762071827
0762071827
Unahitaji mtu mwenye sifa zipi?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mh mjumbe, nakushauri uende na koti jeupe lililo karibia kufika kwenye magoti....[emoji23][emoji23][emoji23]
Dawa muhimuAwe na sifa zipi?
Dawa zipi?za mifugo
Au za chooni?
Dawa zote ni muhimu,hakuna dawa isiyo muhimu ndio maana zikatengenezwaDawa muhimu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]