Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,810
- 15,398
- Thread starter
- #101
Mtambuzi hivi kweli haya mauzi unayapata wapi. kweli wewe nimekukubali. hongera sana mkuu.
Mamndenyi haya mauzi ninayoweka humu ni mauzoefu yangu niliyopitia wakati wa ujana wangu.....................Unajua enzi zangu nilikuwa matata sana hasa kwenye kile kipindi cha kutaka kujionyesha kwamba jogoo anawika..........................LOL