Zanzibar ipi unayoizungumzia?!Zanzibar kuwa full membership united nation
Zanzibar kuwa na mabalozi wake all over the world
Zanzibar kuwa member wa Fifa
Zanzibar kuwa member wa Caf
Zanzibar kuwa member wa OIC
Zanzibar kuwa na passport yake na kuwa member wa East Africa community
Zanzibar kuwa na nyanja nzuri za kiuchumi, kimataifa na kitaifa bila ya vikwazo.
Kwa upande wa Tanganyika, nahisi kuwa watatumia jina la Tanzania [emoji1241].
Watatumia influence ile ile ya Jamuhuri ya Muungano na Jamuhuri ya Tanzania au tanganyika, ni kubadili kidogo tu.
Siwezi kusubiri case ya Muungano kuja kusikilizwa huku Zanzibar, kwa maana nina kila sababu ya kuunga mkono, faida ni nyingi kwa Wazanzibar kuliko hasara.
Insha Allah
Watakuwa pia na jeshi lao, likely KMKM, Sarafu yao, Polisi yao, Uhamiaji yao,Zanzibar kuwa full membership united nation
Zanzibar kuwa na mabalozi wake all over the world
Zanzibar kuwa member wa Fifa
Zanzibar kuwa member wa Caf
Zanzibar kuwa member wa OIC
Zanzibar kuwa na passport yake na kuwa member wa East Africa community
Zanzibar kuwa na nyanja nzuri za kiuchumi, kimataifa na kitaifa bila ya vikwazo.
Kwa upande wa Tanganyika, nahisi kuwa watatumia jina la Tanzania [emoji1241].
Watatumia influence ile ile ya Jamuhuri ya Muungano na Jamuhuri ya Tanzania au tanganyika, ni kubadili kidogo tu.
Siwezi kusubiri case ya Muungano kuja kusikilizwa huku Zanzibar, kwa maana nina kila sababu ya kuunga mkono, faida ni nyingi kwa Wazanzibar kuliko hasara.
Insha Allah
ndoto za mchanaZanzibar kuwa full membership united nation

Zanzibar kuwa full membership united nation

Wapemba wauza spea ilala na Chipsi mitaani watakuwa jobless,maana forodhani haiwezi accommodate wote
mkuu acha uchochezi, wakijua haya yote watatusumbua sana kudai mchanga wao.Zanzibar kuwa full membership united nation
Zanzibar kuwa na mabalozi wake all over the world
Zanzibar kuwa member wa Fifa
Zanzibar kuwa member wa Caf
Zanzibar kuwa member wa OIC
Zanzibar kuwa na passport yake na kuwa member wa East Africa community
Zanzibar kuwa na nyanja nzuri za kiuchumi, kimataifa na kitaifa bila ya vikwazo.
Kwa upande wa Tanganyika, nahisi kuwa watatumia jina la Tanzania [emoji1241].
Watatumia influence ile ile ya Jamuhuri ya Muungano na Jamuhuri ya Tanzania au tanganyika, ni kubadili kidogo tu.
Siwezi kusubiri case ya Muungano kuja kusikilizwa huku Zanzibar, kwa maana nina kila sababu ya kuunga mkono, faida ni nyingi kwa Wazanzibar kuliko hasara.
Insha Allah
Umesahau kitu kimoja. Sarafu . Tutakuwa na sarafu yetu pia pamoja na monetary and fiscal policy
Zanzibar itakua dunia ya kwanza baada ya miaka mitatu. Me sayZanzibar kuwa full membership united nation
Zanzibar kuwa na mabalozi wake all over the world
Zanzibar kuwa member wa Fifa
Zanzibar kuwa member wa Caf
Zanzibar kuwa member wa OIC
Zanzibar kuwa na passport yake na kuwa member wa East Africa community
Zanzibar kuwa na nyanja nzuri za kiuchumi, kimataifa na kitaifa bila ya vikwazo.
Kwa upande wa Tanganyika, nahisi kuwa watatumia jina la Tanzania [emoji1241].
Watatumia influence ile ile ya Jamuhuri ya Muungano na Jamuhuri ya Tanzania au tanganyika, ni kubadili kidogo tu.
Siwezi kusubiri case ya Muungano kuja kusikilizwa huku Zanzibar, kwa maana nina kila sababu ya kuunga mkono, faida ni nyingi kwa Wazanzibar kuliko hasara.
Insha Allah
Ni roho mbaya za kishamba zinazoongozwa na ccm wadanganyika.Karume aliposema koti likikubana unalivua akauliwa..Jumbe akafungiwa miaka yote Mjimwema...Maalim Seif akawekwa kizuizini....Wahenga tunataka kujua kuna siri gani Zanzibar mpaka Tanganyika wako tayari kupeleka jeshi kuwatishia...