hata wewe kuwaambia wenzio wana akil finyu ni UBAGUZI!
wazenj ni wabaguz bhana,usibishe,riference wewe mwenyewe
Post yangu nimeanza na herufi ya ^ maana yake yule wajuu yangu! Sasa kama mtu akili yake finyu asiambiwe? Mtu anaandika pumba za ajabu, hazina ata msingi yaani ilimradi tu mtu na yeye achangie aoneshe chuki zake!