Muungano ukivunjika, Zanzibar kuwa 'Dubai ndogo' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muungano ukivunjika, Zanzibar kuwa 'Dubai ndogo'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Head teacher, Apr 13, 2012.

 1. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Moja yamambo ambayo zenji wanadhani kwamba yanakwamisha maendelo yao ni muungano. Wengi hutamba kuifanya zanzibar ikaribiane na dubai kwa maendeleo, kwa kutumia bandari, misaada ya oic, uchimbaji wa mafuta, uvuvi, na utalii iwapo muungano utavunjika.

  Je ni kweli tanganyika inawakwamisha kutimiza azma yao?

  Kama jibu ni ndio, vipi visiwa vya sheli sheli, na vinginevyo, navyo vimeungana na tanganyika?

  Kama jibu ni hapana, je ni nini ambacho zanzibar wanacho, ila sheli sheli hawana?

  Kama hakuna jibu la msingi, muungano na utadumu milele, kelele za mlango.......
   
 2. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Muungano ukivunjika Tanganyika tujiadae kupokea wakimbizi wengi wa kisiasa, kibaguzi na kidini!

  Huu ndio ukweli! Waunguja watapigana na wapemba; wenye asili ya kiarabu watapigana na wenye asili ya kinyamwezi;
  waislamu watawapiga wakristo na kuanzisha sharia! Ilimradi kutakuwa kama Somalia kwa muda hadi tutakapopeleka majeshi yetu kuweka amani kama tulivyofanya Usheli Sheli!
   
 3. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Days will speak
   
 4. engwe1980

  engwe1980 Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi Tanganyika inakula pesa zinazotokana na utalii huko Zenjibar? Tanganyika inakunywa mafuta ya Zenji?

  Wacha tu wawe kama Dubai ila wajiandae kuwapokea wapemba ambao wamejazana Temeke na Tandika hata kule Nzega.
   
 5. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Is it?
   
 6. c

  chilubi JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,038
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ^ akili finyu. Zanzibar hakuna ubaguzi wa dini, wala kabila wala uunguja ja upemba! Hamuijui history ya visiwa vya zanzibar. Historia ya zanzibar ukiisoma ndo utajua jinsi gani unguja na pemba walivo ndugu, na hawatogombana, hizo ni fitna za babaenu Nyenyere, akitaka unguja na pemba watengane na wagombane wasiwe wamoja! Lakini hilo halitatokea!
  Mimi naona kama ubaguzi utakuja kwenu tanganyika, mmoja kashasema apo juu, tujiandae kuwapokea wapemba wa tmk. Effect kubwa itaonekana kwa tanganyika, MAKABILA 120 hii ni hatari, kumejaa ubaguzi lakini tumewafundisha ustaarabu kidogo mkaelimika lakini tukiondoka mtabaguana sana na mtapigana. Tanganyika ni obstacle kwa maendeleo ya visiwani hili ni kweli. Kama sasa ivi, kuna ishu ya mafuta, sasa mimi nashangaa kwanini mnang'ang'ania mafuta ya watu? Kwanini mnaizuia znz kujiunga na OIC, watu wake ndo wanaotaka kwanini mnawazuia?
   
 7. c

  chilubi JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,038
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Na pia msisahau kumrudisha Bakhresa anaewapa ajira na wafanya biashara wengine haswa wa k.koo!
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Let them go...hakuna cha Dubai wala nini. Ndo mambo ya kuitengeneza Somalia nyingine kwa pembeni. Nchi ikishajaa wajuaji tu ujue ishakuwa nouma
   
 9. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Na Udini utakwenda wapi? Angalia wanavyobomoa hizo bar zilizoko Z'Bar sasa Ukilinganisha na Dubai Eh...
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  wanawake wa kizanzibar wanajua kujipaka hinna,kukaa vibarazani na kuliwaza waume, wanaume nao wanajua kukaa kwenye migahawa kunywa kahawa tende na halua, akifanya kazi kubwa sana aende sokoni na labda atungue nazi apeleke nyumbani mke ampikie wali wa na,DUBAI KUNA WACHAPA KAZI SI WATUNGUA NAZI
   
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hata inekuwa NEW YORK ndogo poa, hatunufaiki na chochote toka kwao!
   
 12. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Tanganyika kuwa kisiwa cha amani mara dufu!

  N a uswahili na uswahiba utaisha kabisa no mdebwede kabsa!
   
 13. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Siyo kweli, je mbona madagaska, comoro, ushelisheli havina lolote. Lengo lao wanataka kutuletea alqder na matatizo ya ya somalia.
   
 14. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Itakuwa SOMALIA nyingine na CUF itakuwa kama AL SHABAB na MAALIM SEIF kama OSAMA.
   
 15. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama hitaji la kujitenga ni la wazanzibar waliowengi wajitenge ili kujiridhisha. Maana wengi wao wanaamini kuwa muungano uliopo ni wa kisiasa zaidi, kitu ambacho hakina manufaa kwa wanzanzibar walio wengi ambao sio wana wa siasa. Wengi wape tafadhali!!
   
 16. T

  Taso JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2012
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Asilimia 99.99 ya Wazanzibari ni Waislamu anyway, wakitaka kuanzisha sharia nje ya Muungano rukhsa!

  Si wanakubaliana? Na nchi si ni yao? Hii itakuwa pilipili ya shamba kwa Tanganyika, kwa nini ituwashe?

  Sasa, na hawa wakristo wawili asilimia 0.001 hawa wanaoishi Zanzibar itawabidi wavumilie, wasilimu au wahame. Wakihama kuja Bara tunaweza kuwa absorb, kwanza sasa hivi nusu ya Wazanzibari wanaishi Tanganyika anyway, pamoja na marais wao wote waliostaafu.
   
 17. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kama zanzibar inataka kujitenga wameshaangalia suala la wenzao ambao wanaishi bara? watawarudisha ama itakuwaje? ..naomba wapewe wanachokitaka sisi hatuna noma kama ni fukwe tunazo kibao ni kitendo tu cha kuziboresha and its so simple ni mikakati tu wadau ..hakuna wanachotuzidi nacho waha wanatutawala kimabavu
   
 18. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nimekaa Zanzibar kwa miaka saba sasa, nakuhakikishia inawezekana kukatokea machafuko Zanzibar baada ya muungano.

  Wazanzibari ni watu ambao ni rahisi kudanganywa na wanasiasa. Na kwa sababu ya wazanzibari wengi kukosa kazi, wana muda mwingi wa kusikiliza uwongo bila kufanya utafiti wa maana.

  Tuanze na OIC. Kati ya waisilamu wenye matatizo makubwa ya kimaisha hapa ulimwengini ni Wapalestina. Lakini OIC haiwasaidii Wapalestina badala yake Wapalestina wanaishi kwa msaada kutoka EU. Sasa niwaulize, kulikoni OIC (Jumuia ya nchi za Kiisilamu) zishindwe kuwasaidia waislamu wenzao wa Palesintina ila wawasaidie wazanzibari? Pili nchi gani ulimwenguni humu imeendelea kwa misaada?

  Uchimbaji wa mafuta. Huenda ni kweli kuna mafuta Zanzibar. lakini nawashauri Wazanibari walichukulie suala la mafuta kwa makini sana. Kuna nchi zilikuwa na amani sana hapa Afrika, lakini siku tu mafuta yalipoanza kuchimbwa ndio siku walipigana na maelufu wakafa kwa sababu ya mafuta.

  Uvuvi. Uvuvi haujawahi kutajirisha nchi hata moja. Norway ambayo ni tajiri sana, huenda tajiri kuliko nchi zote ulimwenguni hawakutajirika kwa uvuvi pekee. Kwanza utajiri wa Norway umekuwa mkubwa pale walipogundua mafuta na kuanza kuyachimba tena wakakataa kujiunga na OPEC kwa hiyo wanachimba bila mashariti ya OPEC.

  Utalii. Utalii wa Zanzibar unaendeshwa kiholela na in fact, hakuna cha kuwavutia watalii Zanzibar. watalii wanaokwenda Zanzibar ni wale masikini, wanawaita vishuka. Alafu, hawana skills za kuendeleza utalii. Mahoteli yaliopo yanaendeshwa na Wakenya na Watanzania bara.

  Kuna tatizo kubwa la ufisadi ninaloliona Zanzibar japo watu wengi hawalioni. Viongozi ni matajiri sana ukilinganisha na vipato vyao, yaani mshahara. Miaka ya 2006 niliambiwa na mchumi mmoja kuwa kipato cha ZRB kipindi kile kilikuwa 3 Bil kwa mwezi lakini matumizi halali ya serekali yanayolipwa na mapato kutoka ZRB yalikuwa 1.8 Bil. Kwa hiyo kila mwezi 1.2 Bil ambayo ni sawa na 40% ilikuwa inapotea.

  Tatizo jingine ni siasa za uhasama. Siasa za Zanzibar ni za uhasama. In fact, alichokisema Nyerere kuwa wazanzibari wanajiita wazanzibari ndani ya muungano ni kweli. Kuna kipindi watu walikuwa hawasali hata msikiti mmoja, kisa yule ni mpemba na huyu ni muunguja. Mbaya zaidi ni kuwa wanafahamiana na itikadi za kichama zinarithishwa kwa watoto. Sio kama Tanzania bara unamkuta Vicent Nyerere ni CHADEMA lakini Makongoro Nyerere ni CCM na wote wanagombea ubunge. Niliona kipindi Vicent Nyerere akifanya kampeni kule Musoma, Madaraka nyerere, japo ni CCM yule, lakini alikuwa anampa support.

  Last, nadhani zaidi ya theluthi ya Wazanzibari wanaishi bara. Na mbaya zaidi ni kuwa wale wenye uwezo kielimu na kifedha in terms of mitaji, ndio wako bara. Nimeenda pemba na kuilinganisha na matajiri wa kipemba walioko daa, kwa kweli havifanani.

  Muungani japo si upendi kabisa kwa sababu naamini Zanzibar inapendelewa sana, kwa mfano wabunge wanaotoka Zanzibar ambao ni zaidi ya 60 katika bunge la jamhuri ya muungano wakati in terms of resource contribution Zanzibar inachangia kidogo zaidi chini ya mkoa wangu wa Kilimanjaro, naona kama si halali. Wangetakiwa walete wabunge chini ya 10 kama mkoa wangu wa Kilimanjaro.
   
 19. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  wakijitenga watakuja kujiunga na alshab kutushambulia,teh teh teh
   
 20. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280

  1. Kukosekana kwa makabila ndiko kutawafanya mbaguane kwa rangi!
  2. Ustaarabu bara umeanza kabla ya ukoloni ndiyo maana makabila yanataniana!
  3. Zanzibar hakuna hata tone moja la mafuta linalochimbwa huku Tanganyika tayari tuna gesi.
  4. Historia inaonyesha kuwa kumekuwa na kufarakana kwa muda mrefu baina ya Unguja na Pemba na bila Tanganyika kamwe Rais wa Zanzibar angetoka Pemba labda kwa mapinduzi mapya!
  5. OIC ni umoja wa waislam wanaotaka kueneza sharia katika nchi zote wanachama hivyo hapa Tanganyika ni MARUFUKU KWA UDINI WENU!
  6. Kumbuka hadi sasa tunawabeba mnashindwa kulipia hata umeme wa TANESCO
  MTAUKUMBUKA MUUNGANO UKIVUNJIKA!
   
Loading...