Muungano ukivunjika, Zanzibar kuwa 'Dubai ndogo'

Ninyi mnajiita wazanzibari kwa kuwa mko ndani ya muungano
Nje ya muungano kuna wapemba na waunguja hakuna Zanzibar
 
Kutokana na utata wa muungano tulio nao ninashindwa kuelewa siku muungano utakapo vunjika tanzania bara tutabakia na kitu gani kila mtu atakapo amuwa kuchukuwa kitu chake bara watachukuwa kitu gani?Wazanzibar watabakia na nchi yao ambayo ni zanzibar ambayo wao hawa kuiua wakati wa kuziunganisha sisi wakaiua tanganyika yetu.wazanzibar watabakia na rais wao na serekali yao na vikosi vyao vya smz ambavyo kimsingi ni sawa na vyombo vya dola.bara wakati huo itakuwa haina rais wala vyombo vya dola kwani rais na vyombo vya dola vilivyopo ni vya muungano ambavyo vitatakiwa vitafute mahali pakwenda kwa vile havitakuwa na mwenyewe wakati wa kinyang'anyilo hicho.
 
Kama umegundua watu wengi Tanzania bara hawaongei sana muungano na wakiongea wanasema kitu kimoja tu, wanagharamia muungano zaidi ya upande wa pili. In theory institutions zilizopo ni za muungano, lakini kama ungevunjika leo Tanzania bara hawatakuwa na tabu zaidi ya gharama za 'divorce' lakini structures zipo.
 
Me nawaza kwamba hivi tukiuvunja, jina letu tutaitwaje?? Maana neno Tanzania inatokana na nchi mbili..! Si mchezo, UN itapata wanachama wapya wawili..!
 
Tutabaki na nchi yetu. Cha moto watakiona Zanzibar kwani umeme wetu tunakata na tunataifisha magorofa na maduka ya wapemba kariakoo na kama zile kilometa za bahari tulizoziomba UN zitakuwa approved basi Zanzibar haitakuwa na eneo la bahari nadhani kitakuwa kisiwa cha kwanza duniani bila milki ya eneo lake la bahari.
 
Nafikiri aliyeunda huu muungano, ukichunguza kwa undani zaidi alikuwa na akili sana. Maana kimsingi unaupinga muungano ukiwa nje lakini ukishakuwa kiongozi lazima uulinde kutoka na masilahi.

Kungekuwa na muungano wa serikali 3 ungekuwa ulishakufa siku nyingi. Kama sijakosea kuna wakati Kikwete alikuwa yupo kwenye harakati za kuunda serikali 3 ama muungano kufa, lakini kaupata uongozi naona ana ulinda kwa nguvu zote.
 
Tutabaki na nchi yetu. Cha moto watakiona Zanzibar kwani umeme wetu tunakata na tunataifisha magorofa na maduka ya wapemba kariakoo na kama zile kilometa za bahari tulizoziomba UN zitakuwa approved basi Zanzibar haitakuwa na eneo la bahari nadhani kitakuwa kisiwa cha kwanza duniani bila milki ya eneo lake la bahari.
 
Tutabaki na Tanganyika yetu na Zanzibar haiwezi kubakia bali Unguja na Pemba zitakuwa nchi mbili tofauti.
 
Kutokana na utata wa muungano tulio nao ninashindwa kuelewa siku muungano utakapo vunjika tanzania bara tutabakia na kitu gani kila mtu atakapo amuwa kuchukuwa kitu chake bara watachukuwa kitu gani?Wazanzibar watabakia na nchi yao ambayo ni zanzibar ambayo wao hawa kuiua wakati wa kuziunganisha sisi wakaiua tanganyika yetu.wazanzibar watabakia na rais wao na serekali yao na vikosi vyao vya smz ambavyo kimsingi ni sawa na vyombo vya dola.bara wakati huo itakuwa haina rais wala vyombo vya dola kwani rais na vyombo vya dola vilivyopo ni vya muungano ambavyo vitatakiwa vitafute mahali pakwenda kwa vile havitakuwa na mwenyewe wakati wa kinyang'anyilo hicho.
tutakuwa na vitu vingi tu-vyote ambavyo ni haki yetu-swala la vitu vya muungano hakuna-zaid ni hawa viongozi wao kusepa na kurud kwao na kuacha nyumba zao na fixed assets zao nyingine huku

Tutabaki patupu na ndio maana hatutaki uvunjike.
Nani kakuambia-wacha muungano ufe-hauna faida yoyote-faida zote ni fantasy tu zilizojengewa vichwan mwa watu kwa propaganda

Me nawaza kwamba hivi tukiuvunja, jina letu tutaitwaje?? Maana neno Tanzania inatokana na nchi mbili..! Si mchezo, UN itapata wanachama wapya wawili..!
mbona sudan wanashare majina-ila me naamin tz itakufa na kutarud tanganyika na zanzibar itajirudia
 
Ukivunjika tutabaki na ahueni kwani ulikuwa ni mzigo, mwisho wa siku jina Tanzania linabaki pale pale hakuna mabadiliko.Mimi hili suala la zanzibar linanikera hasa kwa kuwa hawa wazanzibari wanafikiri kuna jambo la maana sana ambalo mwananchi wa kawaida wa bara anafaidika kutokana na huu muungano, wao kutupigia ndugu zetu kama sehemu ya kuonyesha hasira zao si sahihi hata kidogo waende wakapigane na wanasiasa wao wasituletee masala yao yakipuuzi.
Lakini pia waelewe Wakristo walikuwepo zanzibar hata kabla ya muungano hawana haki ya kuwafukuza.
Who cares about Zanzibar
 
Nchi ya Tanzania itakufa. Itabaki katika historia. Itabidi nchi mpya na taifa jipya vizaliwe upya! Labda itaitwa Tanganyika, au New Tanzania, au tugawane na kaskazini tuwe na yetu mana tayari imeshavunjika vipande vipande, vyovyote vile, tutaanza square one, taifa changa kuliko south sudan, lol
 
Kutokana na utata wa muungano tulio nao ninashindwa kuelewa siku muungano utakapo vunjika tanzania bara tutabakia na kitu gani kila mtu atakapo amuwa kuchukuwa kitu chake bara watachukuwa kitu gani?Wazanzibar watabakia na nchi yao ambayo ni zanzibar ambayo wao hawa kuiua wakati wa kuziunganisha sisi wakaiua tanganyika yetu.wazanzibar watabakia na rais wao na serekali yao na vikosi vyao vya smz ambavyo kimsingi ni sawa na vyombo vya dola.bara wakati huo itakuwa haina rais wala vyombo vya dola kwani rais na vyombo vya dola vilivyopo ni vya muungano ambavyo vitatakiwa vitafute mahali pakwenda kwa vile havitakuwa na mwenyewe wakati wa kinyang'anyilo hicho.

Hivi Umesoma Tanzania au Nje? Au Umeweka hii habari bila kufikiri? kweli kimaandishi inasema ni Vyombo vya Muungano lakini Bara inavichukua na kuwa Vyake; hakuna tatizo lolote;

Sijui Unafikiria nini, hakuna tatizo lolote Ina Maana Kikwete Sio Rais Mtanganyika? kwahiyo atakuwa Rais wa Tanganyika kama hakuna Muungano - Mtu atakayekosa Kazi ni Bilal

* IT HURTS
 
Kutokana na utata wa muungano tulio nao ninashindwa kuelewa siku muungano utakapo vunjika tanzania bara tutabakia na kitu gani kila mtu atakapo amuwa kuchukuwa kitu chake bara watachukuwa kitu gani?Wazanzibar watabakia na nchi yao ambayo ni zanzibar ambayo wao hawa kuiua wakati wa kuziunganisha sisi wakaiua tanganyika yetu.wazanzibar watabakia na rais wao na serekali yao na vikosi vyao vya smz ambavyo kimsingi ni sawa na vyombo vya dola.bara wakati huo itakuwa haina rais wala vyombo vya dola kwani rais na vyombo vya dola vilivyopo ni vya muungano ambavyo vitatakiwa vitafute mahali pakwenda kwa vile havitakuwa na mwenyewe wakati wa kinyang'anyilo hicho.
Huu Muungano ni siri ya waasisi tu hata hawa viongozi wetu now wanashindwa kutupa true, but hata ukifa kwa sisi wabara hakuna cha kupoteza japo ULINZI wa nchi yetu itakuwa UTATA sana kwani nasikia zenj itakuwa kama dubai vile kwa biashara
 
Kuna jamaa rafiki yangu alikuwa ananiambia muungano ukivunjika eti Lindi na MT watakuwa next kudai uhuru wao na gesi lao la songosongo pamoja na mafuta yaliyopo huko watajitajirisha wao wenyewe. Kweli kazi ipo hapa.
 
Back
Top Bottom