Muungano ukivunjika, Zanzibar kuwa 'Dubai ndogo'

Sehemu ya mkoa wa kilimanjaro na maili kumi toka kando ya bahari kuelekea kimara ilikuwa sehemu na chini ya umiliki wa sultan wa Zanzibar.
 
Sehemu ya mkoa wa kilimanjaro na maili kumi toka kando ya bahari kuelekea kimara ilikuwa sehemu na chini ya umiliki wa sultan wa Zanzibar.

kweli mkuu, wachaga walikuwa watumwa wa sultani.. ndio mana tunataka tuwachukue watufanyie kazi za vibarua zanzibar
 
Wanaouzungumzia zanzibar wanakosa kuelewa kuwa ni nchi iliyokaliwa na kizazi cha watumwa kutoka bara na wavuvi kutoka bara waliowengi ndio maana wanataka muungano.wasiotaka muungano ni wale wahamiaji toka oman, yeman na persia.lakini usisahau kitu kimoja hata wakijitenga hao wenye asili ya asia hawatanufaika bali wattmika kutajirisha wenye mali kutoka uarabuni ba india wanadhani itakua dubai ya east afrika itakuwa kwa manufaa ya hao matajiri wa dubai na india lakini si kwa manufaa ya wazanzibari .
 
Sehemu ya mkoa wa kilimanjaro na maili kumi toka kando ya bahari kuelekea kimara ilikuwa sehemu na chini ya umiliki wa sultan wa Zanzibar.

Hivyo huyo Sultan aliwafanya nn....aliwakung'uta nn?
 
waarabu wameajir wahindi dubai , na sisi wazanzibar tutaajir wachaga

umefika arabuni wewe?? Dubai wenzio twafika kila mwaka. kule wanaoendesha uchumni sio wazawa. Wanawake zenji wao ni kujipodoa na kuhudumia wanaume,wanaume kama nyie ni kushinda kijiweni kucheza bao na kuangua nazi. Fanyeni kazi nyie acheni kupaka hina.
 
umemaliza...haka kanchi kanaweza tuacha maana watu wake wanauzalendo wa kweli..hawajapoteza jina lao, wanakatiba yao, ardhi yao inalindwa kikatiba...Tanganyika lazima irudi..

MORIA
Nasema Wende zao haoooo. Hawatutishi na ndoto zao za alnacha. Wao hawatozi kodo vitu wanavyoingiza nchini kwao. Watoze ya nini na "Mabwege" Tanganyika wanao?? Sisi tunawalipia kila aina ya mshahara wanao uhitaji, wao kula kulala tu, Muungano huu ni MZIGO kwa mtanganyika. Ngoja waende, waonje kutafuta hayo mahela ya kulipia matumizi ya nchi ndo wakome.
Wanunue umeme hata kwa bei yetu tu. Jamani, mtoto akililia wembe mpeni. Tutaona kama watauacha uongozi siku mbili.
 
Moja yamambo ambayo zenji wanadhani kwamba yanakwamisha maendelo yao ni muungano. Wengi hutamba kuifanya zanzibar ikaribiane na dubai kwa maendeleo, kwa kutumia bandari, misaada ya oic, uchimbaji wa mafuta, uvuvi, na utalii iwapo muungano utavunjika.

Je ni kweli tanganyika inawakwamisha kutimiza azma yao?

Kama jibu ni ndio, vipi visiwa vya sheli sheli, na vinginevyo, navyo vimeungana na tanganyika?

Kama jibu ni hapana, je ni nini ambacho zanzibar wanacho, ila sheli sheli hawana?

Kama hakuna jibu la msingi, muungano na utadumu milele, kelele za mlango.......


Katika hayo kwenye nyekundu, hakuna nchi iliyowahi kuendelea kwa kutegemea misaada.
Uchimbaji mafuta unategemea sana hali ya kisiasa vinginevyo inaweza kuwa laana. Mifano ipo mingi sana.
Uvuvi na utalii mbona bado havijaendeleza Zanzibar?

Baada ya muungano kuvunjika, waombe sana kusiwe na mitafaruku ya kisiasa. Wapate viongozi wenye dhamira ya kuendeleza nchi.
 
Back
Top Bottom