Muungano kambi ya upinzani mashakani

Muungano kambi ya upinzani mashakani

Wasipoungana nitafurahi sana tu, watakuwa heroes

wakiungana watatukosesha uhomdo wa views
 
........wanawatenga wenzao mnakumbuka cuf ilipotaka kufanya hivyo watu walipiga makelele mbona kleo kimya au kwa sababu ni chadema ? waandishi wa habari vipi? mpo? mambo shwari ule umoja sasa hivi si muhimu tena ? wakati utaahukumu .

Hakuna wakati ambapo CUF ingeweza kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni bila mashirikiano na chama kingine.

1995 kanuni iliwabana wakawakaribisha UDP iliyokuwa na wabunge 4 huku wakiitosa NCCR iliyokuwa na wabunge 28.
2000 na 2005 walivikaribisha CDM, NCCR UDP na TLP kwa vile bado kanuni iliwabana.

Wengi wetu hatukujua kama kuna fungu anapata Kiongozi wa upinzani, kama ni hizo 7m per month ni halali Hamadi azipiganie coz after 5yrs alikuwa anakunja kitu 420m hivi, na amegonga kama term mbili tayari (a cool 1 bilion).
 
"Mabadiliko ya kanuni yalikuwa ni njia mojawapo ya kutaka kupata nafasi ya kutambulika, iwapo ile ya kuwaomba CHADEMA itashindikana "kwa kweli wakati tukibadilisha kanuni wakati ule tulijisahau kuangalia hili...si vizuri kabisa kukiacha nje ya kambi rasmi ya upinzani chama kingine cha upinzani chenye wabunge pia," alisema Bw. Hamad, huku akiungwa mkono na Bw. Kafulila katika mkutano wa mwishoni mwa juma. "

Bunge lisibadilishe kanuni kukidhi matakwa ya CUF maana haitakuwa na tofauti na Mkapa kubadili katiba ali achaguliwe na simple majority not knowing simple majority can be anything above 1%.

Huko mbele inaweza kutokea vyama vya upinzani vitatu vikapata above 12.5% kila kimoja na kusiwe na uwezekano wa kuungana. Does that mean kuwe na kambi tatu tofauti za upinzani?? yaani (iliyo Rasmi, Isiyo Rasmi A na Isiyo Rasmi B)
Nadhani kanuni iliyopo anafaa; chama cha upinzani chenye wastani wa 12.5 au zaidi kiunde official opposition camp, kuungana ni hiari zaidi.
 
Dr Slaa

Sisi wengine hatuna vyama lakini tunataka uongozi mbadala kwenye taifa letu.

Umoja ni nguvu - this goes without saying....
..so opposition ikiwa na sauti moja the stronger it becomes...again it goes without saying.

I agree CUF have erred vs Chadema thru insinuations zao kabla na baada ya uchaguzi.
Fair enough.

Lakini does it make it right for Chadema to shun CUF now?
Hell no.....no because two wrongs dont make it right.

For the sake of us Tanzanians tunaotaka uongozi mbadala, we plead with Chadema to pls gang up with Hamad & co.
Just work out some checks & balances that will expose and sort the weeds out as/when it comes to that.
 
Nyoka alikukosakosa kukugonga zaidi ya mara mbili wakati yupo kwenye majani, leo ananyeshewa na mvua na hana sehemu ya kujificha, je yafaa kumfukizia ndani ya nyumba yako? Jibu kaa nalo kichwani mwako.
 
Tatizo la CUF ni kudhani ya kuwa il wawe kwenye kambi ya upinzani ni lazima wapewe vyeo kama kwenye ile serikali ya mseto na CCM...kule Zanzibar.............lakini ukweli una baki pale pale ya kuwa upinzani ni itikadi tu na wala siyo vyeo..................................Hili watajifunza lini?

Mi nashindwa kuwaelewa kabisa,kwani saivi wako wapi hadi waombe kuingizwa kwenye kambi?
i mean,wao ni wabunge wa upinzani tayari,hawahitaji kupewa vyeo ndo wajue wako kwenye kambi ya upinzani!
Sasa wakinyimwa ndo tuseme watakuwa wanaunga mkono hoja mbofu mbofu kumkomoa nani?
 
Kafulila alishasema jana kuwa tatizo ni ile bajeti ya kambi ya upinzani, vyeo katika kamati, waziri kivuli nafasi za usemaji wa kambi ndo kinachowaumiza kichwa kafulila na mwenzie hamad rashidi, uchu tu hakuna kingine.
Mbona wenzao akina mrema na cheyo hatuwasikii kulalamika?
Wao si walianzisha kambi ndogo, basi waendelee nayo. Wanaona imekataliwa ndo wanarudi nyuma.
Kama wana uroho wa pesa na madaraka kiasi hiki, wanaweza wakatuwakilisha kweli hawa?
 
I do not support entire kuungana kwa vyama ni kuwanyang'anya wananchi haki yao?

CUF wana sera na mtizamo tofauri na Chadema kwa mambo mengi sana

CUF tunahitaji maoni yao, cdm pia siyo mchanganyiko wa maoni..

Kuungana ni udicteta fulani unarudishwa on back door halo BIG NO
 
Umoja ni nguvu - this goes without saying....
..so opposition ikiwa na sauti moja the stronger it becomes...again it goes without saying.

justify kama sincerely KAFU will stand to oppose sisiem/government in parliament as long as KAFU wameunda serikali ya pamoja na sisiem

opposition ipo wapi hapa..... ?

HR anachotaka ni official opposition camp privileges only
 
Nyoka alikukosakosa kukugonga zaidi ya mara mbili wakati yupo kwenye majani, leo ananyeshewa na mvua na hana sehemu ya kujificha, je yafaa kumfukizia ndani ya nyumba yako? Jibu kaa nalo kichwani mwako.

checks & balances
 
justify kama sincerely KAFU will stand to oppose sisiem/government in parliament as long as KAFU wameunda serikali ya pamoja na sisiem

opposition ipo wapi hapa..... ?

HR anachotaka ni official opposition camp privileges only

same answer...checks & balances!
 
Bwana Yeshuahamelech.nadhani umenifahamu sana tu .hapa hakuna blackmail wala judgement tupite kwenye point tu.Hapa chadema inakiuka misingi na dhana nzima ya upinzani bungeni na wanajenga utamaduni mpya mbaya na wao itakuwa ndio waanzilishi sioni faida na bora wakaacha misimamo hio ya kuadabishana.
masahihisho. mimi ni Zdaima wala sio Z(anzibar) daima.asante.

Ndugu Zdaima unaongea vizuri sana lakini kama unakumbuka mwanzoni kabisa wakati mchakato wa kuunda kambi ya Upinzani..CHADEMA waliwaambia CUF kwamba wangependa waungane nao lakini CUF walisema hawakao tayari kuungana mpaka CHADEMA wakubaliane na NCCR-MAGEUZI...na swali linakuja kwa CUF je wanauhakika gani kwamba CHADEMA wamekubaliana na NCCR-MAGEUZI mpaka sasa watake kuungana na CHADEMA?
 
Back
Top Bottom