Muundo wa katiba ya kikundi

Nov 6, 2016
51
141
MUUNDO WA KATIBA YA KIKUNDI

Na Comrade Ally Maftah & Mwl Rashida Kayera

1. JINA LA KIKUNDI

2. ANUANI YA KIKUNDI
a. Iwepo anuani ya Posta na ya kimazingira mfano; ipo mtaa wa … karibu na …
b. Kuwe na namba ya simu

3. MADHUMUNI YAKIKUNDI AU MALENGO YA KIKUNDI NA KAZI ZA KIKUNDI

4. UANACHAMA WA KIKUNDI
a. Aina za uanachama

5. MASHARTI YA KUJIUNGA KWENYE KIKUNDI

6. HAKI ZA MWANACHAMA

7. WAJIBU WA MWANACHAMA

8. UKOMO WA MTU KUWA MWANACHAMA WA KIKUNDI

9. UONGOZI WA KIKUNDI
a. Viongozi muhimu ni Mwenyekiti, Katibu na Mweka Hazina
b. Wanaweza kuweka na wasaidizi wao au wakaweka viongozi wengine zaidi
wapendavyo wao
c. Mweka hazina huwa hana msaidizi

10.UCHAGUZI WA VIONGOZI
a. Utafanyika baada ya muda gani

11.UKOMO WA MTU KUWA KIONGOZI
a. Sababu zinazoweza kusababisha mtu kukoma kuongoza kikundi

12.MIKUTANO NA VIKAO VYA KIKUNDI

13.ADHABU MBALI MBALI NDANI YA KIKUNDI

14.VYANZO VYA MAPATO VYA KIKUNDI
a. Mfano mapato ya kikundi yatatokana na kuuza bidhaa, ada za wanachama,
wafadhili, n.k

15.MABADILIKO YA KATIBA YA KIKUNDI
a. Katiba ielekeze uwezekeno wa kufanya mabadiliko kama kutakuwa na uhitaji
na akidi inayotosha kufanya mabadiliko hayo. Akidi inapaswa kuwa zaidi ya
nusu ya wanachama wote.

16.KUVUNJIKA KWA KIKUNDI
a. Katiba ieleze sababu zinazoweza kusababisha kikundi kuvunjika. Pia kieleze akidi
inayoweza kufanya maamuzi ya kuvunja kikundi

17.MGAWANYO WA RASILIMALI ZA KIKUNDI ENDAPO KIKUNDI KITAVUNJIKA
a. Katiba ieleze utaratibu utakaotumika kugawana rasilimali za kikundi iwapo
kikundi kitavunjika

18.MAJINA YA WANACHAMA WOTE WA KIKUNDI NA SAINI ZAO


N. B. Huu ni mwongozo tu lakini kikundi kinaweza kuongeza mambo mengine
yatakayoonekana kuwa ya msingi kutegemeana na mahitaji yake.

KWA MAHITAJI YA KATIBA ZA VIKUNDI

WASILIANA NASI

Comrade Ally Maftah
BA PROJECT MANAGEMENT - UDOM
0762212623

Mwl Rashida Kayera
BE in Accountance & Commerce - MZUMBE UNIVERSITY
0712163738
IMG_20231108_113238_877.jpg
 
Back
Top Bottom