Muuaji wa Padri Mushi: Mgombea ubunge kupitia CUF 2010

Muuaji wa Padri Mushi: Mgombea ubunge kupitia CUF 2010

now I can connect the dots so easily,lwakatale si ametoka CUF????Na muuaji wa padre naye ni CUF!!!????CUF wanataka Muungano wa mkataba, na kushikiza hilo wanachoma makanisa Zanzibar kuonesha hasira yao,,,,,,,,hatimaye wakaamua kumuua padre,,,,,,nahisi na Lwakatare alienda CHADEMA kupanga mauaji kweli.JUST THINKING!!!
 
Jamaa alitumwa na Jussa kumuua padre.Nahisi tu.
 
Hi ni siasa ya chimwaga inachezwa hapa na jeshi la polisi ccm na usalama wa taifa
 
Sikuamini,sitoamini na nilishatoa angalizo juu ya huyo aliekamatwa. Sasa kuna picha inaanza kupatikana
Join Date : 29th March 2013
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received : 0
Likes Given : 0
Naona umejiunga jana tu kimkakati ili kuja kuwatetea UAMSHO humu. JF haiwahitaji kabisa uamsho kwani ni kundi hatari la kigaidi. Acha upuuzi kijana
 
cuf na uamsho nadhani ni 'dugu' moja Mungu atawaumbua.. mmoja baada ya mwingine.. tusubiri tuone..
Wa Kristo baadhi walifunga na kumlilia Mungu... Hatimae Mungu amejibu maombi yao.. Hakika kwa resma imetoa jibu..PASAKA NJEMA..
 
Kwani ameua kwa niaba ya chama?nashindwa ku-connect hapa
Imeelezwa kuwa mtuhumiwa Omari Musa Makame(35)anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kumuua Padri Evarist Mushi ni mwanachama wa CUF ambaye aligombea nafasi ya uwakilishi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 katika Jimbo la Rahaleo kwa tiketi ya CUF,

Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Hamad Masoud alithibitisha kuwa Omar ni mwanachama wao na ni kweli kuwa aliwakilisha CUF katika uchaguzi wa Mwaka 2010 katika Jimbo la Rahaleo.

Chanzo: Habari Leo, 31 Machi 2013.
 
Jamani siyo CCM wanatuchezea akili zetu kuelekea 2015? Maana vyama vyote vinavyoonekana kuwa huenda vikawa kikwazo kwao ndiyo vinaandamwa na matukio ya kufuatana fuatana!! Mmh hebu ngoja niendelea kusikilizia kimya kimya lakini mpaka 2015 tutasikia na kuona mengi sana.
Ni kweli mkuu, inawezekana..
 
yule muuaji wa zanzibar siwezi kuamini kama ni yeye kweli, ila ugaidi wa lwakatare ni live bila chenga,
 
embu tuwekee picha yake mkuu,kama huna omba kwa Mtatiro

Napata wasiwasi CUF ina uhusiano na Kikundi cha Uhamsho cha Zanzibar. Tembelea ukurasa wa fb wa kikundi hicho utaona baadhi ya picha zao wamem Tag Mtatiro.
My Take:
1.Kwa nn Maalim Seif amekuwa akitetea kikundi hicho in a indirect way?
2. Kwa nn hawajamu Tag kiongoz wa chama kingine?
 
Siku ambayo nitaiona picha ya huyo mtuhumiwa ili niilinganishe na ile ya John Doe (iliochorwa na FBI) ndo ntaweza kutoa maoni yangu.. Vinginevyo kwa usanii huu wa serikali ya ccm ntabaki kuwa "uncle Tom"..
 
Mmmh! Naona kuna siri kubwa sana nyuma ya mauaji hayo! Lakini itajulikana tu..................
 
isije ikawa huyo jamaa amepandikzwa tu halafu baadaye tukaambiwa mahakama imeshindwa kupata ushahidi ktk kesi hii na mshitakiwa anaachiwa huru! Mbona ametangazwa huyu jamaa baada tu ya askofummja kuilalamikia serikali juu ya hili? askofu
 
Cuf+uamsho ni sawa na ugaidi mambo ya jussa hayo anaimarisha chama cha cuf..
 
Najua tu lengo lao.Kuchafua upinzani ili mwaka 15 wasipite.Vyovyote iwavyo tuna imani na upinzani
 
Back
Top Bottom