Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
!!!!!!1Kwanini hiyo picha imekaa upande... Ina maana jamaa ana ulemavu wa mguu..lol?
nadhani ni mpiga picha alikaa upande.
Tuwekeeni picha ya Omari Makame tuone inafananaje na kibonzo hiki.
Kibonzo ndo hiko, Picha yake wamesema wanafanya siri.
Hiyo ndo serikali yetu bhana.