Muuaji wa Padri Mushi: Mgombea ubunge kupitia CUF 2010

Muuaji wa Padri Mushi: Mgombea ubunge kupitia CUF 2010

Travelogue_tz

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
855
Reaction score
1,224
Imeelezwa kuwa mtuhumiwa Omari Musa Makame(35)anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kumuua Padri Evarist Mushi ni mwanachama wa CUF ambaye aligombea nafasi ya uwakilishi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 katika Jimbo la Rahaleo kwa tiketi ya CUF,

Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Hamad Masoud alithibitisha kuwa Omar ni mwanachama wao na ni kweli kuwa aliwakilisha CUF katika uchaguzi wa Mwaka 2010 katika Jimbo la Rahaleo.

Chanzo: Habari Leo, 31 Machi 2013.
 
embu tuwekee picha yake mkuu,kama huna omba kwa Mtatiro
 
Mungu apishie mbali mawazo yatakayojengeka na baadhi ya watu ya kuihusisha CUF na chuki za kidini hususani mauaji ya Padri! Bora atukumbushe kuwa Omary Musa Makame ni mtu dynamic na angeweza kushawishiwa na taasisi nyingine, lakini kwakua historia haifutiki, yaliyotendeka nyuma yanabaki!
 
SIkuinunua habari ile ya kijinga na watu wangine waliniparua makucha, lakini sasa tunaanza kupata mafunuo zaidi/
 
Lakwatare, CHADEMA, Omari Musa CUF

Nani anatengeneza sinema hii?

Script writer wa movie hii ni nani?

Something is not right!!!

Cha kushukuru wote wanashikiliwa na vyombo vya dola. Kilichobaki ni kuomba uadilifu wa vyombo hivyo ili kutujuza watanzania kama wanayotuhumiwa nayo ni maagizo ya vyama vyao au ni maagizo ya njaa za matumbo yao!
 
Imeelezwa kuwa mtuhumiwa Omari Musa Makame(35)anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kumuua Padri Evarist Mushi ni mwanachama wa CUF ambaye aligombea nafasi ya uwakilishi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 katika Jimbo la Rahaleo kwa tiketi ya CUF,

Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Hamad Masoud alithibitisha kuwa Omar ni mwanachama wao na ni kweli kuwa aliwakilisha CUF katika uchaguzi wa Mwaka 2010 katika Jimbo la Rahaleo.

Chanzo: Habari Leo, 31 Machi 2013.
kamishna Musa wa Zanzibar naye kajipatia mkenya wake kama Kova, Watanzania nitaendelea kuwakumbusha tena tusitegemee mabadiiko yeyote ya kiutendaji kama vyombo hivi vya msingi vitaendelea kuwa chini ya wanasiasa.
 
Lakwatare, CHADEMA, Omari Musa CUF

Nani anatengeneza sinema hii?

Script writer wa movie hii ni nani?

Something is not right!!!

Lwakatare pia ana DAMU MIKONONI MWAKE? Ameua Nani TUAMBIE BASI?
 
Lwakatare pia ana DAMU MIKONONI MWAKE? Ameua Nani TUAMBIE BASI?

Unafuata sheria ya mwingereza (innocent until proven guilty)au mfaransa (the accused is guilty until proven innocent) ?

Ni watuhumiwa au wametiwa hatiani?
 
Unafuata sheria ya mwingereza (innocent until proven guilty)au mfaransa (the accused is guilty until proven innocent) ?

Ni watuhumiwa au wametiwa hatiani?

wote peleka guantanamo
 
Asilimia kubwa ya yanayosemwa hapa JF huwa ni kweli kwa sababu wengi wanaoingia hapa wako kila sehemu katika nchi hii
Kwa kifupi ni kwamba unaweza kuwa unaongea na rafiki mmekaa nae meza moja lakini wakati huo huo anakulima humu JF
Sina comments kuhusu hili la cuf lakini ikijulikana ni kweli basi tujue kazi ipo
 
Imeelezwa kuwa mtuhumiwa Omari Musa Makame(35)anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kumuua Padri Evarist Mushi ni mwanachama wa CUF ambaye aligombea nafasi ya uwakilishi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 katika Jimbo la Rahaleo kwa tiketi ya CUF,

Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Hamad Masoud alithibitisha kuwa Omar ni mwanachama wao na ni kweli kuwa aliwakilisha CUF katika uchaguzi wa Mwaka 2010 katika Jimbo la Rahaleo.

Chanzo: Habari Leo, 31 Machi 2013.

Tangu kuanza kutolewa kwa taarifa hizi za kuwa wamemkamata mtuhumiwa wa mauaji wa Padri Mushi nilishasema nitakuwa wa mwisho kuziamini taarifa hizo,sababu kuu ni jinsi jeshi la polisi na viongozi wa nchi hii wanavyofanya kazi zao isivyo sahihi.Nnakishauri chama cha Cuf kama kitaweza kifanye nacho uchunguzi wao kwa kina,Chadema imeshachafuliwa na suala la Lwakatare hivyo Cuf nao wqnaweza wakawa ndio wanaofuatia.-msnihukumu kwa haya machache.
 
habari za habarileo kutoka rahareo......teh teh
 
Back
Top Bottom