Muuaji wa Padri Mushi: Mgombea ubunge kupitia CUF 2010

Muuaji wa Padri Mushi: Mgombea ubunge kupitia CUF 2010

Unafuata sheria ya mwingereza (innocent until proven guilty)au mfaransa (the accused is guilty until proven innocent) ?

Ni watuhumiwa au wametiwa hatiani?

Coorelation... GUILTY until Proven GUILTY... New CCM GVT POLICY
 
CUF haiusiki hapo huyo ni gaidi kutoka Uamsho hata kama ni mwanachama lakini pia ni Raia wakawaida anaweza kujiunga na kundi lolote la kigaidi bila kuhusisha chama chake CCM wasibadili hii maana na kuileta kisiasa kwasababu Padri hakuwa mwanasiasa wala sijasikia akiingilia maswala ya kisiasa mpaka kuwindwa alichokua anapambana nacho ni UAMSHO.
 
Wote ni magaidi

Kwahiyo tuna MAGAIDI KIBAO NCHINI... Lile GHOROFA lililoanguka Kariakoo ni UGAIDI as well... Yaani Serikali ya CCM imechoka ilifanya UFISADI haukutosha Mabenki USWISI yamejaa MAPESA sasa ni MTINDO wa silence termination... either JICHO; MENO; VIUNGO... UHAI... Wengine waliokuwa wanafanya hivyo zamani wameingia kwenye DEMOKRASIA ya kweli; SISI tumerudi nyuma...
 
Kwahiyo tuna MAGAIDI KIBAO NCHINI... Lile GHOROFA lililoanguka Kariakoo ni UGAIDI as well... Yaani Serikali ya CCM imechoka ilifanya UFISADI haukutosha Mabenki USWISI yamejaa MAPESA sasa ni MTINDO wa silence termination... either JICHO; MENO; VIUNGO... UHAI... Wengine waliokuwa wanafanya hivyo zamani wameingia kwenye DEMOKRASIA ya kweli; SISI tumerudi nyuma...

Una maana lile gorofa la jijinii kati lilioanguka juzi? Ni ugaidi tu limeuwa watu ishirini na wahusika ni magamba.
 
Jamani siyo CCM wanatuchezea akili zetu kuelekea 2015? Maana vyama vyote vinavyoonekana kuwa huenda vikawa kikwazo kwao ndiyo vinaandamwa na matukio ya kufuatana fuatana!! Mmh hebu ngoja niendelea kusikilizia kimya kimya lakini mpaka 2015 tutasikia na kuona mengi sana.
 
Kila Rais Duniani anaomba angepata Fursa ya kutawala Vilaza kama wa Tanzania, mtawala ndo mwenye kuamua Raia wajadili nini mpaka lini na kuwaletea jambo lingine la kujadili kadri inavyoonekana inafaa tena mijadala yenyewe haina athari kwa Mtawala, sasa hivi ni jengo kuanguka na 'Muuaji' wa Padri aliekamatwa Kjariakoo Zanzibar akiendelea na shughuli zake miezi miwili tangu 'afanye' mauaji.
 
Mtatiro, hebu tubandikie picha ya "kijana wako" hapa. Toka haya mambo ya mauaji ya Padri naona Jusa amenyamaza kimya!! Sasa haongei kwa maneno bali yeye ni vitendo tu. Lazima huyo "Mwakilishi wa raha leo" atamtaja kwamba ndiye mfadhili wao.
 
Asilimia kubwa ya yanayosemwa hapa JF huwa ni kweli kwa sababu wengi wanaoingia hapa wako kila sehemu katika nchi hii
Kwa kifupi ni kwamba unaweza kuwa unaongea na rafiki mmekaa nae meza moja lakini wakati huo huo anakulima humu JF
Sina comments kuhusu hili la cuf lakini ikijulikana ni kweli basi tujue kazi ipo

Sometime ur bcome O.K when ur grandiose delusion is over... ma be today were together!
 
Jamani siyo CCM wanatuchezea akili zetu kuelekea 2015? Maana vyama vyote vinavyoonekana kuwa huenda vikawa kikwazo kwao ndiyo vinaandamwa na matukio ya kufuatana fuatana!! Mmh hebu ngoja niendelea kusikilizia kimya kimya lakini mpaka 2015 tutasikia na kuona mengi sana.

Wana watu wao kila sehemu mpaka wameajiri matapeli


6200358.jpg
3946840.jpg
 
Mtuhumiwa ana sifa nyingi:- 1.ni mwanaume 2.ni mzanzibari 3.ni mwanachama wa CUF 4.mwafrika 5.mwislamu na nyinginezo
Je! tuhukumu sifa ipi????????
Ni sahihi tukisema kwa kuwa ni mwanaume basi wanaume ni magaidi???? au tuseme wazanzibari ni magaidi????? au tuseme CUF au waafrika, ama waislamu????????
Tusubiri tuone sifa ipi ilimsukuma kufanya kitendo hicho, na tuone kama jamii husika ilimtuma au ni msukumo wake binafsi. Tusihukumu wanaume kwa kuwa mtuhumiwa ni mwanaume. Kwangu mimi naona wanaume wote ni magaidi.
 
Hii senema ,mtu ameua halafu anaendelea na shughuli zake kama kawaida mji huohuo aliofanya mauaji huku akijua kuna mpaka FBI wanafuatilia issue,mpaka anakamatwa..dah!!
 
Lakwatare, CHADEMA, Omari Musa CUF

Nani anatengeneza sinema hii?

Script writer wa movie hii ni nani?

Something is not right!!!

Tumia uelewa wako vizuri bila kusukumwa kwa hisia za kishenzi.
Habari inasema aliyemwua Padri Mushi, ndg Omar ni mwanachama wa CUF sasa hiyo ya Lwakatare imeingiaje kwani yeye kamwua nani?
Ungekuwa na busara ungehoji je, Omar alitumwa na nani? je, ni waislamu, je, ni CUF, na je, ni yeye mwenyewe?
Hapo ndiyo ungeanza kutafakari pia kuwa kama ni CUF ilimtuma Omar kumwua Padri, kwani padri ana madhara gani kwa CUF? au CUF ina uhusiano wowote na uislamu? na kama ni yeye mwenyewe nini hasa wamekosana? au ameamua kumwua kwa itikadi ya dini yake bila kuihusisha CUF?
siyo kuja humu na kuropoka upuuzi......... usituharibie pasaka kiongozi
 
haya...mpaka 015 tutasikia/tutaona/tutajua mengi....lets go
 
Lakwatare, CHADEMA, Omari Musa CUF

Nani anatengeneza sinema hii?

Script writer wa movie hii ni nani?

Something is not right!!!

tuondolee upeo wako mdogo wa kufikiria, kwa hiyo katika watu wote wa ZNZ FBI wamsingizie yeye
 
Back
Top Bottom