Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya kodi ya Madini, Majengo na Pombe kali wapitishwa Bungeni

Sasa mkuu unataka mwnye ghorofa alipe kiasi gani?kama jengo lina sakafu(floor) 30, ni fair alipe hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Floor 30 bongo hayapo kabisa. Floor 30 ni majengo machache ya serikali. Watu binafsi wengi ni floor moja au mbili na wengine ni makazi ya kuishi sio business . Kila sakafu alipie 50000. Kama zipo mbili ni Sawa na 100000 au 150000. is it fair wakati nyumba ya kawaida ni 20000 Kwa maeneo ya mjini. Wangeweka flat let nae alipe 20000 tuu kama wengine. Kujenga ghorofa sio zambi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kodi ya majengo is not fair kabisa. Mwenye ghorofa wakati nae ni kiwanja kimoja eti alipie 50000 kila sakafu. Hii ni akili au matope maana yake watu waache kujenga magorofa na inaweza ikawa ghorofa ya kuishi tuu sio biashara. Nikijenga ghorofa na flat moja juu nalipia 50000. Is not fair

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yani uache kujenga ghorofa kisa 50,000/= hii mpya

Nimegundua watanzania hawana shukrani, hata wafanyiwe jema lipi, mind you unavyotaka kujenga ghorofa lako serikali nayo inataka kukujengea miundo mbinu ya wewe kufika kwako vizuri, kupata maji salama pamoja na kukuhakikishia ulinzi

Yote haya yanafanyika kwa kuchangia kodi na watoa kodi ndio mimi na wewe, sasa unapoanza kulalamika kuhusu kodi ninapata mashaka, ujenge nyumba ya milioni 300, uogope kodi ya 50,000/= kwa mwaka

Huyo mtu anayejenga lets say nyumba ya ghorofa 3 au 4, atakosa uwezo wa kulipia laki 2 kwa mwaka?

Uchumi unabadilika kila siku kuna kuishiwa. Mantiki gani ilitumika kukadiria 50000 na wakati hata baadhi ya nyumba za chini bila ghorofa huweza kugharimu million 300. Hii ni kutokana na eneo na material ilizojengewa. Ndio maana Tanzania hatusongi mbele kwasababu wakadiriaji wa Kodi wengi wanakadiriaga Kwa kukomoa. Ivi ebu cheki inakuwaje Uganda,Rwanda na kenya zinakuwa zinatuzidi watalii wakati Sisi ndio tunaoongoza kwa kuwa na vivutio vingi zaidi kuliko nchi zote hizo combined. nilichojifunza tz ni kwamba viongozi wetu wanapenda kukamua maziwa bila kumpa malisho ng'ombe. Tz tajiri ni adui wa taifa tatizo tulishakaririshwa na mwl akati kile kipindi tulikuwa socialist. Hizo biashara za madini zilikuwa zinakwama because of Kodi. We fikiria watu Kagera wanatorosha kahawa kupeleka Uganda. Wakati Uganda hawana hata Bandari. Wale jamaa walikuwa wanatoroshea dhahabu Rwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Black market. Yaani mchimbaji anachimba anauza kwa broker na broker anauza kwa dealers kwa bei ya soko LA dunia. Dealers anatengemea kupata faida kwa price fluctuations. Mfano 300kg iliyokamatwa imekamatwa kwa wanunuzi. Mnunuzi ananunua Tsh500 to 1000 less than London metal exchange kwa kila gram inayouzwa kwa sasa around tsh90000, unaweza jiuliza MTU anatafuta faida ya 1000 kwa kila 90000. Hivyo ukimwambia atoe 7% royalty razima apate hasara. Kwa maana hii Serikali inapaswa kuwatoza wachimbaji kabla hawajauza kwa broker ili biashara iwezekane. Bahati mbaya wachimbaji hawaeleweki hivyo serikali inashindwa kuwa control na hapo black market inaingia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani serikali inataka vitu bure bure, chimbo nilianzishe mimi, afu nichimbe mwenyewe na majasho yangu, yenyewe ije ichukue kodi kiulaini, haiwezekani, black market forever

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mtu anayejenga lets say nyumba ya ghorofa 3 au 4, atakosa uwezo wa kulipia laki 2 kwa mwaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na uwezo wa kulipa sio kigezo cha kumlimbikizia Kodi kubwa. Iangaliwe ni kwanini alipe hiyo je uhalisia wake uko wapi. Kodi ilipwe Kwa kuangalia uhalisia wake sio Kwa kuangalia huyu ana hela nyingi tumuwekee Kodi kubwa not fair. Wakati kiwanja ni kimoja. Hatutafika mbunge mmoja wa Ujerumani aliwai kusema high taxes are killing private sector investment in Africa. Jiulize kwanini biashara ya hiyo michuzi ya zabibu ilishindikana ni kwasababu Kodi ilikadiriwa vibaya . Hata hapa nasema imekosewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kodi ya majengo is not fair kabisa. Mwenye ghorofa wakati nae ni kiwanja kimoja eti alipie 50000 kila sakafu. Hii ni akili au matope maana yake watu waache kujenga magorofa na inaweza ikawa ghorofa ya kuishi tuu sio biashara. Nikijenga ghorofa na flat moja juu nalipia 50000. Is not fair

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili zao zinaamini kila mwenye ghorofa ana hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi unabadilika kila siku kuna kuishiwa. Mantiki gani ilitumika kukadiria 50000 na wakati hata baadhi ya nyumba za chini bila ghorofa huweza kugharimu million 300. Hii ni kutokana na eneo na material ilizojengewa. Ndio maana Tanzania hatusongi mbele kwasababu wakadiriaji wa Kodi wengi wanakadiriaga Kwa kukomoa. Ivi ebu cheki inakuwaje Uganda,Rwanda na kenya zinakuwa zinatuzidi watalii wakati Sisi ndio tunaoongoza kwa kuwa na vivutio vingi zaidi kuliko nchi zote hizo combined. nilichojifunza tz ni kwamba viongozi wetu wanapenda kukamua maziwa bila kumpa malisho ng'ombe. Tz tajiri ni adui wa taifa tatizo tulishakaririshwa na mwl akati kile kipindi tulikuwa socialist. Hizo biashara za madini zilikuwa zinakwama because of Kodi. We fikiria watu Kagera wanatorosha kahawa kupeleka Uganda. Wakati Uganda hawana hata Bandari. Wale jamaa walikuwa wanatoroshea dhahabu Rwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hoja ya kuishiwa hapo baadae haina haina mantiki, kwa maana hata ukiishiwa itakuwa ni ngumu wewe kulihudumia jengo lako, ukumbuke hiyo siyo kodi ya kiwanja ni kodi ya jengo, na kama nimeelewa vizuri kama majengo yapo mawili katika kiwanja kimoja mwanzoni yalikuwa yanalipiwa tofauti lakini kumpunguzia gharama mtoa kodi basi wameamua kufuta hiyo na yatalipiwa(hesabiwa) kama jengo moja ambalo lipo kwenye kiwanja...

Now unavyosema kuhusu kiwanja, hakiusiki hiyo siyo kodi ya kiwanja ambayo rate zao zinakuwa flat....

Unachopendekeza ni kama tuseme mtu aliyenunua toyota vits 2002 na mwingine toyota landcruiser V8 2018 watozwe sawa pale wanapoingiza magari yao nchini kwa sababu yote ni magari na yana matairi manne na kutembea katika bara bara zile zile. HAIWEZEKANI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du! JF bwana thread positive kama hii hakuna anayejitokeza kuchangia. Wana JF wanapenda sana ligi za snitchers na spinners zaidi kuliko positive development. Pengine hii ndio sababu spinners wa upinani hapa nchini huwa hawachaguliwi kuongoza nafasi za uongozi wa dola kwa kuwa wapiga kura ni positive na wahahitaji positive development communication.
Another milestone from JPM. Jamaa ni jembe kwelikweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo hoja ya kuishiwa hapo baadae haina haina mantiki, kwa maana hata ukiishiwa itakuwa ni ngumu wewe kulihudumia jengo lako, ukumbuke hiyo siyo kodi ya kiwanja ni kodi ya jengo, na kama nimelewa vizuri kama majengo yapo mawili katika kiwanja kimoja mwanzoni yalikuwa yanalipiwa tofauti lakini kumpunguzia gharama mtoa kodi basi wameamua kufuta hiyo na yatalipiwa(hesabiwa) kama jengo moja ambalo lipo kwenye kiwanja...

Now unavyosema kuhusu kiwanja, hakiusiki hiyo siyo kodi ya kiwanja ambayo rate zao zinakuwa flat....

Unachopendekeza ni kama tuseme mtu aliyenunua toyota vits na mwingine toyota V8 watozwe sawa pale wanapoingiza magari yao nchini kwa sababu yote ni magari na yana matairi manne na kutembea katika bara bara zile zile. HAIWEZEKANI

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwanja kimoja nimejenga nyumba 2 zenye thamani ya mill 300 na mwingine kajenga ghorofa kwenye kiwanja kimoja yenye floor moja Kwa shillings million 300 . Inakuwaje tozo ni tofauti. Wakati udhamani ni mmoja tofauti ni style ya kujenga. Wewe ulichozungumza ni tofauti kabisa vitz na land cruiser ni tofauti. It's not realistic tax. Ukatae ukubali is not realistic. Maanayake huyu mmoja atalipa 20000 na mwingine 50000 kila sakafu.

Kwahiyo mkuu unapendekeza kodi iwe kulingana na thamani ya jengo? Utaweza kulipa kwa thamani? Ghorofa imekuwa limetambuliwa kama jengo kubwa...nyumba ya chini jengo dogo,

Kwa akili ya kawaida mkuu unataka kodi ya jengo iwe sawa kwa mtu mwenye jengo la ghorofa 5 na aliye ya nyumba yake ya chini?ghorofa maana yake ni nyumba juu ya nyumba, jengo juu ya jengo, hivyo hizo zilizopo juu zinahesabiwa kama majengo tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu, ukiangali hapo kodi zimeondolewa kabisa na sehemu nyingine zimepunguzwa kwa kiasi kikubwa

Mfano kwenye madini, 5% ya withholding tax haipo tena, mwanzoni ilikuwepo

VAT, imeondolewa kwenye masoko ya ndani, mwanzoni ilikuwepo...hiyo ni 18%

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi kodi walikuwa wanatozwa wanunuzi tu. Hivyo wachimbaji wala haziwahusu. Ndiyo maana walikuwa wanatorosha. Tatizo wachimbaji ndiyo hawalipi royalty na wataenda kuuza kwa MTU ambaye yupo tiari kununua kimagendo mzingo ambao haujaripiwa royalty kutokana na hili itamlazimu mnunuzi atoroshe mzingo tu maana hana namna.

wrongly conceived
 
Back
Top Bottom