Mkuu umesema kweli tupu, bahati mbaya sana wanasheria wetu hawana uwezo wa kuishitaki serikali iliyoko madarakani!!! Ukweli ni kuwa budget zote za serikali ni feki, projection zote za serikali kwenye uchumi ni uongo mtupu... Data za Mfumuko wa bei i.e inflation ni takwimu za uongo kwa maslahi ya IMF na WB .... Itikadi ya CCM ni uongo mtupu !!! Ilani ya CCM haikupaswa kuchapishwa mitandaoni kwani ni uongo na wanastahili kifungo!!! ZZK kujiita mjamaa wakati anajulikana ni kuwadi number one alistahili kufungwa ...
Budget nyingi kwenye Wizara huweka cha juu Chao pesa nyingi huwa zinabaki ( Kasma) na kuliwa na wanjanja, Ndiyo maana kipindi cha budget Waziri na wasaidizi wao huwanyenyekea wabunge ili wapitishe ulaji wao, Tunamtaka Rais ambaye ataweza kukomesha Hizi pancha za Ulaji.