Musukuma: Lazima Tundu Lissu afukuzwe Bungeni

Asam

Senior Member
Oct 11, 2011
181
500
Hatimaye startv wanazungumzia issue ya Tundu Lissu katika kipindi cha ajenda,mgeni mwalikwa ni mbunge Joseph Kasheku Musukuma. Anasema kipindi cha Hard Talk ndiyo kipindi vingine vyote ni upuuzi.

Anasema Tundu Lissu anatukana nchi kwa kutambua ushoga,ameongeza kuwa anatamani Lissu afutwe ubunge kwa anayoyafanya nje ya nchi.

Anasema Polepole ndiye mwenye haki ya kufanya mikutano ya CCM kwasababu anaeleza wananchi utendaji wa Serikali.

Mashinji muda wake wa kuhuisha chama mpaka 2020.

Kipindi kipo live na kinaendelea.
 

KICHEDE22

Member
May 11, 2014
54
95
Akiongea ktk kipindi cha AJENDA 2020 cha Star TV amedai kua bunge lijalo lazima ahakikishe Tundu Lisu anafukuzwa bungeni kwani amekua mzururaji huko marekani na ulaya badala ya kuwakilisha wananchi wake amedai atahakikisha anamwomba spika muongozo wa spika ilikujua hoja yake ya kumnyang'anya mshahara wake imefikia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujafa ujaumbika Msukuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 

TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,026
2,000
Mnadhani kwann Jamaa anapiga sana kelele, ni kulinda tumbo anahofu ya jina kutokurudi 2020 kumbuka mwaka aliwahi mgusa mtoto wa mfalme hivo ni kama njia ya kuonewa huruma jina lirudi. Chochote utakacho sema vibaya juu ya TL kitamfurahisha mfalme nae utapewa fadhila ya teuzi.Thus wanamponda TL kulinda matumbo yao.
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
34,079
2,000
Mkuu yeye alishasema ni darasa la saba na wala hajutii kuwa darasa la saba na ana exposure kuliko wewe nyumbuz!!
Kibajaji darasa la tatu na Jah people aliishia Chekechea lakini ndio wanaongoza kwa ubunifu bungeni zaidi ya hizo PhD za akina Kabudi!
 

Illakwahhi

JF-Expert Member
Oct 13, 2017
466
1,000
Mnadhani kwann Jamaa anapiga sana kelele, ni kulinda tumbo anahofu ya jina kutokurudi 2020 kumbuka mwaka aliwahi mgusa mtoto wa mfalme hivo ni kama njia ya kuonewa huruma jina lirudi. Chochote utakacho sema vibaya juu ya TL kitamfurahisha mfalme nae utapewa fadhila ya teuzi.Thus wanamponda TL kulinda matumbo yao.
Umemaliza kila kitu na in ukwl mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom