Musukuma: Lazima Tundu Lissu afukuzwe Bungeni

Mnadhani kwann Jamaa anapiga sana kelele, ni kulinda tumbo anahofu ya jina kutokurudi 2020 kumbuka mwaka aliwahi mgusa mtoto wa mfalme hivo ni kama njia ya kuonewa huruma jina lirudi. Chochote utakacho sema vibaya juu ya TL kitamfurahisha mfalme nae utapewa fadhila ya teuzi.Thus wanamponda TL kulinda matumbo yao.
Lisu ni mjinga sana Na hata wanaomtetea nao ni wajinga tu. bora afie ulaya huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiongea ktk kipindi cha AJENDA 2020 cha Star TV amedai kua bunge lijalo lazima ahakikishe Tundu Lisu anafukuzwa bungeni kwani amekua mzururaji huko marekani na ulaya badala ya kuwakilisha wananchi wake amedai atahakikisha anamwomba spika muongozo wa spika ilikujua hoja yake ya kumnyang'anya mshahara wake imefikia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Lasaba B huyo! teh! Tumekosa nini watanzania?Yani huyo kilaza naye eti ni "kiongozi"
 
Akiongea ktk kipindi cha AJENDA 2020 cha Star TV amedai kua bunge lijalo lazima ahakikishe Tundu Lisu anafukuzwa bungeni kwani amekua mzururaji huko marekani na ulaya badala ya kuwakilisha wananchi wake amedai atahakikisha anamwomba spika muongozo wa spika ilikujua hoja yake ya kumnyang'anya mshahara wake imefikia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ubunge wa Tundu Lissu ndio unazuia Tanzania ya Viwanda!! Wabunge wapuuzi kama hawa hawana faida yoyote kwa taifa zaidi ya hasara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tmshukuru Mungu kwa kutupatia Tundu Lisu. Mtu aliyeamua kuweka rehani uhai wake kwaajili ya watanzania wote bila ya kujali wanamshukuru au wanamdhihaki.

Yanayotokea leo siyo ya ajabu. Yalitokea hata enzi za manabii wa Mungu. Walitumwa kwenda kuwapa ujumbe wa Mungu lakini waliopelekewa waliamua siyo tu kutoupokea ujumbe bali waliamua kuwaua.

Lakini kuna wakati Mungu aliwaadhibu waliougomea ujumbe wake.

Kila jambo ni hatua kwa hatua kadiri Mungu alivyopanga. Hakika hakuna atakayemwua Tundu Lisu, hakuna atakayeushinda ujumbe wake, hakuna atakayenyanyuka kwa kumdhihaki, bali ataingia shimoni lakini wale wenye kujutia uovu walioutendha dhidi yake, watapata msamaha wa maovu yao.

Waliokosa maarifa, hakika wataangamia. Wao na wana wao.
 
Back
Top Bottom