Musukuma: Lazima Tundu Lissu afukuzwe Bungeni

Royal Tour

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
250
452
Hatimaye startv wanazungumzia issue ya Tundu Lissu katika kipindi cha ajenda,mgeni mwalikwa ni mbunge Joseph Kasheku Musukuma. Anasema kipindi cha Hard Talk ndiyo kipindi vingine vyote ni upuuzi.

Anasema Tundu Lissu anatukana nchi kwa kutambua ushoga,ameongeza kuwa anatamani Lissu afutwe ubunge kwa anayoyafanya nje ya nchi.

Anasema Polepole ndiye mwenye haki ya kufanya mikutano ya CCM kwasababu anaeleza wananchi utendaji wa Serikali.

Mashinji muda wake wa kuhuisha chama mpaka 2020.

Kipindi kipo live na kinaendelea.
 
Akiongea ktk kipindi cha AJENDA 2020 cha Star TV amedai kua bunge lijalo lazima ahakikishe Tundu Lisu anafukuzwa bungeni kwani amekua mzururaji huko marekani na ulaya badala ya kuwakilisha wananchi wake amedai atahakikisha anamwomba spika muongozo wa spika ilikujua hoja yake ya kumnyang'anya mshahara wake imefikia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujafa ujaumbika Msukuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnadhani kwann Jamaa anapiga sana kelele, ni kulinda tumbo anahofu ya jina kutokurudi 2020 kumbuka mwaka aliwahi mgusa mtoto wa mfalme hivo ni kama njia ya kuonewa huruma jina lirudi. Chochote utakacho sema vibaya juu ya TL kitamfurahisha mfalme nae utapewa fadhila ya teuzi.Thus wanamponda TL kulinda matumbo yao.
 
Umemaliza kila kitu na in ukwl mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiongea ktk kipindi cha AJENDA 2020 cha Star TV amedai kua bunge lijalo lazima ahakikishe Tundu Lisu anafukuzwa bungeni kwani amekua mzururaji huko marekani na ulaya badala ya kuwakilisha wananchi wake amedai atahakikisha anamwomba spika muongozo wa spika ilikujua hoja yake ya kumnyang'anya mshahara wake imefikia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nchi haiwezi kumsikiliza juha huyu lofa darasa la saba pumbaf sana la Lumumba na mvuta bangi maarufu wa huko usukumani.
 
Back
Top Bottom