Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma, ameibua hoja bungeni akilalamikia mazingira yasiyo rafiki kwa viongozi na familia zao wanapopita katika maeneo mbalimbali ya VIP. Akizungumza bungeni, Musukuma amesema:
"Sisi humu ndani sio Wahuni ni Waheshimiwa tuna familia....Mhe. Spika sisi tumepewa heshima ya kupita VIP, lakini nataka kujiuliza ukienda pale VIP mkishuka kwenye gari kama huna hela inabidi mgawanyike, Mwanamke apite huku Mwanaume apite huku, ile heshima ya VIP hasa kwenye hizi sehemu tunazopita ni mbaya sana kumtenganisha mtu na mwenzi wake."