Nashauri IPP Media iendelee kuwa chini ya usimamizi wa Joyce Mhaville naamini amekuwa akiipatia na ataipatia...kwa upande wa kusimamia empire ya IPP group of companies nadhani mwanae wa kike Regina anaweza kusimamia hii empire...IPP Companies ni kampuni ya kizawa ambayo imewanufaisha sana watanzania...hatutamani kusikia inadorora baada ya Mzee wetu kutangulia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwenyekiti wa rambi rambi ndio anaingia msibaniView attachment 1086198View attachment 1086199
Hili boya linajua mila za kimachame?Pole sana broView attachment 1086206
Ile ni kampuni babu....kuna kitu kinaitwa perpetual succession.....hakuna wasi wasi hapo...kampuni inasimamiwa na ma director....mwenye share nyingi ndio muamuzi wa mwisho
Huyu ni mastermind wa misiba yote..hata kama hajui atalia pale mpaka mumpe kitengo msibaniHili boya linajua mila za kimachame?
Yeye kazi yake ni kumlilia Marehemu na kukusanya michango,Mila kawaachia nyie ndugu wa damu.Hili boya linajua mila za kimachame?
Huu msiba ni mzito sana. Kwanza kwenye kikao cha kina Lowasa. Msuya. Otuoh. Shirima ataingiaje.Huyu ni mastermind wa misiba yote..hata kama hajui atalia pale mpaka mumpe kitengo msibani
Masanja katolewa povu [emoji23]Mwenyekiti wa rambi rambi ndio anaingia msibaniView attachment 1086198View attachment 1086199
Ukikomaa na huo mtazamo utazaa watoto wa kike tena warembo na utakuwa na mali nyingi. Ukizeeka rudi utwambie umerithishaje.Apewe wa kiume. Unampaje mali mtoto wa kike japo watoto wake hawana shobo kabisa mjini.
Kwa sababu Walikuja wakazikuta. Zilipatikana kabla ya wao kuwepo.Mbona Jacqueline na mapacha hamuwataji
hakuna mchaga anaeacha mali kwa mtoto wa kike. mtoto wa kike anaolewa na mpaka jina la ukoo anabadilisha na kutumia la mumewe, kwa hiyo automatical mali zinakuwa chini ya mume wakeUkikomaa na huo mtazamo utazaa watoto wa kike tena warembo na utakuwa na mali nyingi. Ukizeeka rudi utwambie umerithishaje.
Wapiga ramli mshaanza yenuNashauri IPP Media iendelee kuwa chini ya usimamizi wa Joyce Mhaville naamini amekuwa akiipatia na ataipatia...kwa upande wa kusimamia empire ya IPP group of companies nadhani mwanae wa kike Regina anaweza kusimamia hii empire...IPP Companies ni kampuni ya kizawa ambayo imewanufaisha sana watanzania...hatutamani kusikia inadorora baada ya Mzee wetu kutangulia.
Ile ni kampuni babu....kuna kitu kinaitwa perpetual succession.....hakuna wasi wasi hapo...kampuni inasimamiwa na ma director....mwenye share nyingi ndio muamuzi wa mwisho
Usiishi kimazoea mzee....kampuni zinazokufa ni hizo za kiswahili Swahili sio kampuni zinazoendeshwa na watu smart....Mengi ni muasisi wa IPP Group of companies,ambayo ndani kuna makampuni mengi with separate MDs,na mafanikio yake yanatokana na mambo mengi,unaajiri watu talented ambao wanakuletea hayo mafanikio,wewe unakua mtu wa ku watch watch pembeni,kuna baadhi ya decision hata mzee Mengi huenda alikua hafanyi,...wewe unaweza kuwa unafanya kazi kiwanda cha Bonite(kile cha coca cola) cha mzee Mengi na ukafukuzwa kazi wala mzee Mengi hajui japo ni mmiliki,so hizo ni kampuni sio sawa na duka lako la Mangi mtaani ukienda kwenye msiba Tanga nalo linafungwa,ndio maana jamaa kakwambia, company ina separate legal existence from the owner, kampuni inabidi iendelee kuishi forever irrespective of death, insanity,or insolvency of the owner n.k.....watanzania tusiishie kusoma umbeya Instagram sometime jipe muda wa kusoma na kujifunza vitu ambavyo huvijui,basi tujitahidi hata kwenye subscription zetu you tube tu follow hata online courses tutorials za vitu vya maana,sio kila muda upo tu na Diamond na Zari au Wema, let's change,...ndio maana tunabisha hata fact....R.I.P Mzee MengiNitajie kampuni iliyoanzishwa na mswahili (awe mchaga au kabila lolote jingine ngozi nyeusi) mwenyewe akatwaliwa na imebaki ina-operate at least kwa kiwango alichokiacha mwanzilishi wake.