Nadhani alifanya surgery, sidhani kama ni diet na exercise....Surgery huwa ni chaguo la mwisho ambalo pia lina complications na ni permanent pia ni gharama
Surgery hujumuisha upunguzaji wa tumbo - hii hufanya kiasi kidogo cha chakula kupita kwa wakati na kufanya mtu kuhisi kushiba haraka.
Njia nyingine ambayo si ya upasuaji huitwa 'gastric baloon'- hii inahitaji commitment ya hali ya juu ya ulaji na pia inaleta side effects kadha. Njia hii hufanyizwa sana Uingereza. Mgonjwa humeza ki'baloon' ambacho humfanya mgonjwa ajihisi ameshiba na hivyo kula kidogo na mara chache.Pia humfanya mgonjwa kuwa na tabia tofauti ya ulaji.
Njia hizi huhitaji maandalizi ya kisaokolojia na support ya wauguzi.
Njia hizi ni last resort, unashauriwa kujaribu njia asili za vyakula na mazoezi kabla ya kufikiri njia hizi.