Must Watch Video: Rais aliyeshindwa Gambia ampigia simu mshindani wake

Waafrika bhana, mnashawishika Kirahiisi! Kwa kuwa tu Wazungu hupigiana simu basi ndo njia sahihi? Kwa hiyo Dunia nzima kuanzia Ujapani mpaka Central Europe yoite ambapo hakuna utamaduni kama huo kote huko hamna Demokrasia? Kwa kuwa kapiga simu ndo mnaona nijambo la kujivunia?

The devil is in the details haujui ni kwa nini hata kaamua kuachia ngazi!

Muafrika ni mutoto wa Muzungu!
Ccm hoye.... hoyeeeeeeee.... zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama ... zidumuu.... ccm safi....safiiiiiii..... wapi Jecha apewe tuzo.....
 
Ninahisi kwamba Sheheni angetamani sana kufanya hivyo lakini wapi buana. Li sistimuu mpaka litoe go ahedi.
 
Mwafrika akifanya kitu kizuri evil people like you mnasema wameiga wazungu. That's highest degree of ignorance and please keep it for yourself. Don't bring it here because this is for GT only!
Hilo dude Barbarosa ulolijibu ni kifuu cha nazi hasa. Ana hoja dhaifu na chafu kuliko kinyesi. Hajui kitu lakini mbishi ajabu.
 
Ingekuwa tanzania mpinzani kashinda mmmmh
HALAFU UNAENDA LUMUMBA UNAKUTA UKO PEKE YAKO HALAFU WANAKUWA WAMEONDOKA HAWAJAIBA SALIO LA MUDA WA MAONGEZI ITABIDI UMBEEP RAIS MPYA HALAFU AKIKUPIGIA MWAMBIE HAWA JAMAA WA LUMUMBA WAMEIBA HATA SALIO LA MAONGEZI WAKIJA HUKO UTAWAONA NA MIKIA
 
Ingekuwa tanzania mpinzani kashinda mmmmh
HALAFU UNAENDA LUMUMBA UNAKUTA UKO PEKE YAKO HALAFU WANAKUWA WAMEONDOKA HAWAJAIBA SALIO LA MUDA WA MAONGEZI ITABIDI UMBEEP RAIS MPYA HALAFU AKIKUPIGIA MWAMBIE HAWA JAMAA WA LUMUMBA WAMEIBA HATA SALIO LA MAONGEZI WAKIJA HUKO UTAWAONA NA MIKIA
 
Bora mimi ninayesema CCM oyee klk wewe uliyegeuzwa msukule na Wachaga!
Eti hili nalo ni litanzania, kila siku kupalilia ukabila tu. Watu kama wewe ndio mtatuharibia taifa kisa tumbo tu. Enzi za Nyerere ungekuwa na la kujibu wewe. Jitu linaishiwa hoja linakimbilia kuwagawa watanzania, aiiibuuuu.
 
YAHYA JAMMEH wa nchi ya Gambia ameiga mfano mzuri kutoka kwa GEJ wa Nigeria kwa kukubali matokeo ya uchaguzi na kumpa pongezi mshindi au mpinzani wake na rais mteule Barrow


Sura ya nje inaonyesha kupongeza.Sura ya ndani inaonyesha huzuni na hofu!. Team yake yote inaonyesha hofu. Pongezi hizi zinarangi ya artificiality and sura ya msingi wa ukuta fulani hivi. Wakati meno yanaonyesha tabasamu macho yanasomeka kujaa machozi.

KUNA NINI NYUMA YA PAZIA?

HOFU YA KUTUMBULIWA?

AU 'IF YOU CAN NOT FIGHT THEM, JOIN THEM"?

Hata hivyo, tunaomba waishi katika maneno yao. Maneno huumba. Watembee katika amani, umoja na kuheshimiana bila ubaguzi wala visasi na pasiwepo ukiukwaji wa haki na sheria kwa maslahi ya Gambia na Africa.
 
Sina hakika kama lowasa baada ya kushindwa alimpigia simu Magufuli kumpongeza kwa ushindi aliopata, au Maalim kumpongeza Dr. Shein hapa kwetu kuna watu wanataka washinde wao tu, mwingine akishinda basi kuna dhuluma imefanyika. Mfano huu uwe kichocheo cha hulka za viongozi wa upinzani hapa nchini.
 
Anajihami maana anajua mziki utakaofuata, sijui kama atabaki salama kwa aliyokuwa ameyafanya, kuua watu wanaompinga, kuwatesa mpaka wengine kukimbia nchi. viongozi wetu huwa wanajisahau sana kuwa uongozi ni mapito
 
nataman siku moja itokee tanzania
Sidhani.Power transition kutoka CCM hadi upinzani kutwaa madaraka will be violent and bloody. Tanzania inakabiliana mijitu isiyo heshimu demokrasia ambayo ina agenda ya kutawala milele daima.
 
Back
Top Bottom