Must Watch Video: Rais aliyeshindwa Gambia ampigia simu mshindani wake

Iam very happy to see and hear this from my fellow African brother. Despite all his shortcomings, this phone call will define him for much of his life after the presidency. Very few can do this. From my heart: Hongera sana President Jammeh. Maisha ni safari. Mwenzako ataanzia ulipoishia.

I wish more Africans will learn from this gesture.

Waafrika bhana, mnashawishika Kirahiisi! Kwa kuwa tu Wazungu hupigiana simu basi ndo njia sahihi? Kwa hiyo Dunia nzima kuanzia Ujapani mpaka Central Europe yoite ambapo hakuna utamaduni kama huo kote huko hamna Demokrasia? Kwa kuwa kapiga simu ndo mnaona nijambo la kujivunia?

The devil is in the details haujui ni kwa nini hata kaamua kuachia ngazi!

Muafrika ni mutoto wa Muzungu!
 
Mwafrika akifanya kitu kizuri evil people like you mnasema wameiga wazungu. That's highest degree of ignorance and please keep it for yourself. Don't bring it here because this is for GT only!
 
Mwafrika akifanya kitu kizuri evil people like you mnasema wameiga wazungu. That's highest degree of ignorance and please keep it for yourself. Don't bring it here because this is for GT only!

Mnadanganyika kirahisi sana kwa vitu vidoogo, kwa hiyo hapo huyo jamaa keshasamehewa madhambi yake yoote aliyowafanyai Wagambi kwa zaidi ya miaka 20 kwa sababu hiyo tu!
 
Inatia moyo sana kuona kitu kama hiki katika moja na nchi za Kiafrika. Hapa kwetu hili kamwe haliwezi kutokea. Ving'ang'anizi wa madaraka wako radhi wawatumie akina Jecha kufuta uchaguzi au akina Lubuva kuiba kura na polisiccm kurindimisha risasi mtaani. Mtu utadhani ana hati miliki ya Tanzania hata anathubutu kutamka, "Katiba mpya si kipaumbele change."

YAHYA JAMMEH wa nchi ya Gambia ameiga mfano mzuri kutoka kwa GEJ wa Nigeria kwa kukubali matokeo ya uchaguzi na kumpa pongezi mshindi au mpinzani wake na rais mteule Barrow
 
Huku kwetu ushinde au ushindwe utafuatiliwa tu na hata mali zako zitakamatwa tu kwa vile ulionyesha nia ya kupinga! poor we, no political tolerance
 
Waafrika bhana, mnashawishika Kirahiisi! Kwa kuwa tu Wazungu hupigiana simu basi ndo njia sahihi? Kwa hiyo Dunia nzima kuanzia Ujapani mpaka Central Europe yoite ambapo hakuna utamaduni kama huo kote huko hamna Demokrasia? Kwa kuwa kapiga simu ndo mnaona nijambo la kujivunia?

The devil is in the details haujui ni kwa nini hata kaamua kuachia ngazi!

Muafrika ni mutoto wa Muzungu!

Vitu vingine si lazima ucomment chief. Vitabu vya dini vinatwambia: Onyesha weledi wako. Ficha upumbavu wako.
 
How pleasant it would have been, before Allah and mankind for Daktari Shein to concede defeat.He choose otherwise. Alas! He has to bear the brunt of shame. Sauti ya Umma ni sauti ya Mungu.
 
Mnadanganyika kirahisi sana kwa vitu vidoogo, kwa hiyo hapo huyo jamaa keshasamehewa madhambi yake yoote aliyowafanyai Wagambi kwa zaidi ya miaka 20 kwa sababu hiyo tu!
Conceding a defeat and congratulating your opponent comes first then other issues will be taken care of according to the laws of the country. No enemity in leadership instead the constitution of the land guides how to run the country. If the previous leadership violated the constitution then the new leadership must take action.
 
Yahya Jammeh alipoingia madarakani Kwa mapinduzi ya kijeshi alipendwa sana akaonekana mkombozi wa Gambia. Ila baadaye akabadilika na kuchokwa.

Kosa alilofanya Jameh nikuwatukana na kuwadharau kabila la mandingo ambao ni wengi Gambia. Yahya Jammeh anadai na ni kweli Mandinga ni wageni Gambia walitokea Mali lugha Yao inashabiana na Bambara wa Mali same language groups. Ila waliamia Gambia 10,000 years ago na Kuntakinte naye ni Mandingo.

Yahya Jammeh anatoka kabila Dogo sana la Jouala ambao wanadai Wenyewe ndio kabila asili Gambia. Huu uchaguzi ulifanyika kikabila zaidi licha ya Jammeh kuwa dikteta. Ukiondoa kabila kubwa la mandinga na Juala Kuna makabila mengine madogo kama Wolof ambao wanatokea senegal na ni kabila kubwa Senegal na Fulani ambao lugha Yao Fula ambao wanafanana kama Cushite's wametapakaa west African from nothern nigeria to western Sudan had central African. Republic ndio wale Fulani Seleka anti Balaka walikuwa wanawaua central African republic.

Ilikuwa vigumu Jammeh kushinda huu uchaguz kwasabab wapinzani wote waliungana. Kura zilikuwa nyingi sana had kurig ilishindikana.

Yahya Jameh aliweka mfumo siku ya kazi ilikuwa jumatatu had alhamiis. Wikendi inaanza alamis jioni had jpili. Masaa ya kazi kwaanzia saa moja had saa 10 jion.

Population ya Gambia ni kama ya Zenji tu. Wanalima Karanga sana na ndio zao lao kuu. Ukiondoa lugha ya asili kingereza ni official language Na walitawaliwa na waingereza Na taifa pekee kutawaliwa na waingereza ukanda wa west Africa ukiondoa nigeria ghana na guinea bissau hawa walitawaliwa na wareno.

utalii unachangia sana kwenye pato la taifa. Wanawake wengi wakizungu hasa Skendinevia utalii Gambia sana kwasababu vijana wa huko wanajituma sana malavidavi wagambia wanabyodai ndio maana wengi wameoa nakuishi huku skendinevia Na uingerea.

Senior JF political expert and correspondent

PhD
 
Conceding a defeat and congratulating your opponent comes first then other issues will be taken care of according to the laws of the country. No enemity in leadership instead the constitution of the land guides how to run the country. If the previous leadership violated the constitution then the new leadership must take action.

Mnadanganyia kirahisi sana na Wazungu wanawajua na ndiyo maana wanawatumia kama kiatu!
 
Back
Top Bottom