Must Watch Video: Rais aliyeshindwa Gambia ampigia simu mshindani wake

Anajihami maana anajua mziki utakaofuata, sijui kama atabaki salama kwa aliyokuwa ameyafanya, kuua watu wanaompinga, kuwatesa mpaka wengine kukimbia nchi. viongozi wetu huwa wanajisahau sana kuwa uongozi ni mapito
Waliokimbia nchi ni mashoga na lgtb groups basi
 
hana lolote huyo.....uoga tu wa kumuhofia trump....

mpaka sasa bado nashangaa imekuaje dikteta yahya jemmeh amekubari kushindwa kirahisi namna ile.sio jambo la kawaida.
 
Nani atapambana na jpm kama ni lowassa tutamkatia mbali sana hata kura 2ml hapati
 
Kuna haja kwa vyama vya upinzani kuungana na kumteua mfanya biashara muadilifu apeperushe bendera uchaguzi 2020 ...imefanikiwa USA na sasa Gambia....
 
hana lolote huyo.....uoga tu wa kumuhofia trump....

mpaka sasa bado nashangaa imekuaje dikteta yahya jemmeh amekubari kushindwa kirahisi namna ile.sio jambo la kawaida.
Kwani aliwahi kushindwa na akakataa
 
Back
Top Bottom