kuna mauaji?Ni nzuri ila kuna scenes inatisha kidogo.
Bora hujasema maana kweli ungeondoa radha yoteNitakuondolea utamu, tafuta muda ukaione ni nzuri.
ndiyo nipo kwa mchakato wa kuitafuta ili weekend hii niangalie.Nitakuondolea utamu, tafuta muda ukaione ni nzuri.
wewe umeshaiona?Bora hujasema maana kweli ungeondoa radha yote
Inaitwa a thousand wordsKuna movie ya naitafuta ila sijaijua jina lake ni ya Eddy murphy,kuna mtu alikuwa ana hadithia tu...yani kuna mti ambao Eddy Murphy kila atakapo ongea neno moja na jani moja hudondoka katika ule mti na kila majani yanapozidi kupungua naye uhai wake unazidi kupungua.
Asante sana mkuu.Inaitwa a thousand words