👍👍👍Sasa kwanini usema kwamba DUNE haina maajabu wakati hapa unakubali kwamba ni Graphical Masterpiece ??
Sasa kama unafahamu fika kwamba neno "Graphical" lina Denotative na Connotative Meanings kwanini ukimbilie kutafasiri kwamba mimi nazungumzia ubora wa kamera peke yake tu ???
Usilazimishe kitu ambacho sijakisema mkuu. Hivi leo nikisema kwamba Mad-Max:Fury Road ni Graphical Masterpiece kuliko Mad-Max 1982, basi kichwani kwako unadhani ntakuwa nazungumzia ubora wa kamera peke yake tu ??? Mbona filamu kama Terminator 2: Judgement Day ya mwaka 1991 ni Graphical Masterpiece kuliko hata Terminator😀ark Fate ya mwaka 2019. (Hapa utasema nafananisha ubora wa kamera tu ???)
Mazee, sisi wote hapa ni mashabiki tu, binafsi sina utaalamu wowote ule wa filamu na sina cha kukufundisha wewe.
Nipo humu kuburudika tu, hivyo huu mjadala tuupotezee tu,...
Shukrani sana Mkuu,.......
Sorry, just a small correction mad max 2 ilitoka December 1981 not 1982 and mad max; beyond thunderdome ni ya 1985Mad-Max:Fury Road ni Graphical Masterpiece kuliko Mad-Max 1982
Sawa mkuu...Sorry, just a small correction mad max 2 ilitoka December 1981 not 1982 and mad max; beyond thunderdome ni ya 1985
Mm ni fan mkubwa sana wa mad max😅😅😅
Sema hakuna nomah tuupige chini huu mjadala👍👍👍
Si leo wala kesho Jiandae 2023.Part 2 ipo njiani
Kusema kweli bila unafiki sijaona maajabu yeyote kwenye hii kitu.Hii movie ni remaking tuu haina maajabu yeyote, bac tuu cast imejaa mastaa wengi ila ni remaking ya DUNE(1984) ya David lynch ambayo ilikuwa Kali mno, hii ya mwaka huu ameitengeneza Denis Villeneuve, kumbuka sio Mara yake ya kwanza kufanya remaking ya classic blockbusters, mfano "blade runner" classic blockbuster ya miaka ya 80s aliotengeneza sir. Ridley Scott ilifanyiwa remaking na huyuhuyu Denis Villeneuve mwaka 2017 akaiita "blade runner 2049"
Hizi movie zngine bac tuu wanatengeneza ili Netflix kusikosekane movie mpya za kuangalia
Hukuikubali kwa upande upi?? Je story mbaya?? Graphics mbaya?? Acting mbaya?? Director hajui?? Cinematographer kazingua?? Which is which??
Movie sikuiz jau sana wanarudiarudia tuu concept ili mradi wapige tuu hela, ndo maana namkubaligi sana director amd producer David lynch, Huyu jamaa anasemaga ukweli unauwaumiza madirector wengi.....Real talk bruh [emoji106] tena ukiangalia Trailer utachanganywa na hivyo viji scene uchwara tizama movie sasa upuuzi uliomo.
Yaan sijakuelewa, unaamaanisha Jared leto hajui kuigiza au kweny blade runner ndo kazngua??Kwa Visual iko fresh, sema ndefu, boring, fight scenes kawaida najua sio lazima iwe action packed lakin hamna sikuwa interested kbs, halafu come on kuna Bautista... ambae binafsi namconsider kuwa hajuagi acting.. Jared Leto na kazingua so yeah.. sikuipenda
Hayo ni mawazo yang kama nilivyosema sipo kwenye d**ck-measuring contest
Yaan sijakuelewa, unaamaanisha Jared leto hajui kuigiza au kweny blade runner ndo kazngua??
Broo unajuaje kama mtu kazingua?? una taaluma yeyote kweny mambo ya "Sanaa ya uigizaji"Kazingua kwa Blade runner ambae hajui ni Bautista
Broo unajuaje kama mtu kazingua?? una taaluma yeyote kweny mambo ya "Sanaa ya uigizaji"
Broo kama una taaluma kweny "art of acting" bac mm sikupingi😅😅😅Yeah, halafu wewe unaitwa Tarantino...You of all people should know that
Natafta muvi nzuri ya action ya kiafrica Africa...ikiwa ya porini itapendezaKwa Visual iko fresh, sema ndefu, boring, fight scenes kawaida najua sio lazima iwe action packed lakin hamna sikuwa interested kbs, halafu come on kuna Bautista... ambae binafsi namconsider kuwa hajuagi acting.. Jared Leto na kazingua so yeah.. sikuipenda
Hayo ni mawazo yang kama nilivyosema sipo kwenye d**ck-measuring contest
Super assassin John wick😅😅, did u know kwamba Jared leto temporarily blinded himself while filming blade runner so that he would fit the role precisely, he also needed an assistant to walk him to the place where they were shooting, the crowd was amazed by how he was such a "method actor"Yeah, halafu wewe unaitwa Tarantino...You of all people should know that
Yts.mxBoss huwa unadowanload wapi movie yani Pitaresbay siku hizi naona mafalaa tuu
Super assassin John wick[emoji28][emoji28], did u know kwamba Jared leto temporarily blinded himself while filming blade runner so that he would fit the role precisely, he also needed an assistant to walk him to the place where they were shooting, the crowd was amazed by how he was such a "method actor"
Anyway kama unaona kazingua haina nomah, ni mtazamo wako[emoji106]
Natafta muvi nzuri ya action ya kiafrica Africa...ikiwa ya porini itapendeza