Must see Movies

Mimi napenda sana kuangalia movie zenye songs, mnaozijua nisaidieni kunitajia nidowlod
 
aisee hatimaye nimefanikiwa kupata movies zangu za kitambo sana za horror/sci- fi

ambazo miaka ya 90s zilioneshwa sana kwnye Vituo vya luninga vya kibongo

kama hyo THE NIGHT OF CREEPS ilioneshwa zaidi DTV na CHANNEL TEN

huku hyo the CRITTERS ilioneshwa zaidi ITV

movies zote zilitoka mwaka 1986.

bado kuna zingine naendelea kutafuta kma 2 hvi kama sio 4

kama wewe ni above 30 yrs lazima utakuwa ulishaziona ukiwa mpenda horror kama mimi enzi hzoooooo.
 
Oppenheimer nayo lazima niifanyie booking ya ticket ule mzigo siwez kuusubil mpk utoke online, nataka nikausikie huo mlipuko wa Atomic bomb
Mkuu.... Niliona umerecommend tuangalie animation ya Super Mario Bros: Movie

Nataka nikaiangalie. Hivi haina ushoga kweli hiyo animation [emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…