Black Adam ni muvi ya ovyo kabisa 🤣🤣
DC mwaka jana wameboronga tu. Bora hata Black Adam kuna takataka inaitwa The Batman 2022, yaani ni ovyo tu halafu ina rating ya 7.8 IMDb. Shenzi kabisa 😂😂
Bila subtitles napata shida kuelewa wanachoongea. Si unajua wengine tupo vizuri kwenye vocabulary za English lakini Americans wakianza kupiga ngeli, kwenye kusikiliza wengine kinatupiga chenga😆😆
Subtitles muhimu bhana