Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,831
- 11,663
Sema Tom& Jerry ile ya watu ilitoka miaka hii ya 2020 ilikuwa mbaya sana kuweka na watu ndo walikosea kabisaWatu mmechoka kuangalia wahusika halisi sasa mnakumbushia enzi za akina tom and jerry zilizochangamshwa na teknolojia [emoji16][emoji16][emoji16]
Hiyo sikuangalia, watu wengi walisema ni mbayaSema Tom& Jerry ile ya watu ilitoka miaka hii ya 2020 ilikuwa mbaya sana kuweka na watu ndo walikosea kabisa
Labda sababu hakuna mastaaaZombie Tidal Wave 2019
Aliyeangalia hii muvi aniambie ilikuwa na shida gani mbona ina ratings ndogo hivi, 3.8/10 [emoji38][emoji38]View attachment 2620414
Unakuta ni bajeti ya wizara hiyo na nyingine hazifiki hukoNajeti za wizara yetu zipoje
Kuna watu wanapenda animation mkuu. Binafsi hapo nasubiria mission Impossible na Extraction 2 kwa hamuZikitoka tukumbushane. Jamaa hapo juu kataja hafi makatuni/animeseheni daah na anaita zilikuwa muvi nzuri[emoji38][emoji1]
Kaka hiyo ishatoka sema wale wa vitonga ndio hatujaipata[emoji16]John Wick john wick john wick kwanini umeisahau mkuu kwanini???[emoji2][emoji2][emoji28]
Tom and Jerry naangalia zile za zamani tuSema Tom& Jerry ile ya watu ilitoka miaka hii ya 2020 ilikuwa mbaya sana kuweka na watu ndo walikosea kabisa
Warning [emoji3544][emoji3544]Kuna mtu alirecommend series ya Big Mouth, inahusu nini kabla sijachoma MB zangu [emoji16][emoji16]
Wazungu washenzi sana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Majuzi nilikopi mzigo kwa mtu, leo nikawa napitia folder moja moja, nkakumbuka ule mzigo niliokopi, nkakutana na hii takataka Fire Island. Jina kubwa nikadhania ni some kind of zombie movie kumbe huko ndani ni upinde certified kabisa!! [emoji1785]View attachment 2620626View attachment 2620627
Nitafuatilia reviews kuanzia sasa, nisije nikakutana na vitu vya ajabu[emoji1787][emoji1787]Warning [emoji3544][emoji3544]
Pitia kwanza reviews upate hata muelekeo wa series, usije ukajikuta week nzima unaangalia wanaume wanalana madenda tu
Upinde wamejipanga sana!Wazungu washenzi sana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Me niliiona ni mbaya hakuna mfanoHiyo sikuangalia, watu wengi walisema ni mbaya
Imetoka upande wa cinema?Kaka hiyo ishatoka sema wale wa vitonga ndio hatujaipata[emoji16]
Ooh nimeiona Netflix, subiri nidaunlodSweet Tooth
Yeah..kuna CAM versionImetoka upande wa cinema?