Nyinyi wadau wa MCU
Next movie ya Spider-Man ni ipi na inatoka lini, watu tunasubiria Ila hatujui ratiba
Au hamna Spider-Man fans humu View attachment 2592743
Asante kwa kunikumbusha
Hii muvi nilikuwa nasubiria ili ifike kwenye sites zetu za mchongo mpaka nikaisahau.
Sasahivi nimeenda Netnaija kuangalia nimeikuta, Naishusha sasahivi
Asante kwa kunikumbusha
Hii muvi nilikuwa nasubiria ili ifike kwenye sites zetu za mchongo mpaka nikaisahau.
Sasahivi nimeenda Netnaija kuangalia nimeikuta, Naishusha sasahivi
Aisee.... hii muvi wafanye haraka watoe continuation yake mapema.
Tunataka kujua Kang the Conqueror ataleta vurugu gani baada ya kufanikiwa kuja duniani