Kuna mahala nimeona kipande cha video, viumbe kama binadamu ni weupe kwa rangi wanavamia katika dunia sasa hawa binadamu wa kawaida ukiwaona hao viumbe unapaswa ugande kama ulivyo ukijitikisa umekwisha. Mwenye anafahamu jina la hiyo movie aniambie tafadhali.