jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,696
- 1,806
Hii ni kati ya movie chache alizoact Tom Hanks nilizozipenda (Nyingine ni Saving Private Ryan, You've got a mail & Catch me if you can)..mpaka leo ninayo kwenye movie library yangu...!
Thanks kwa kukumbushia na kwa hii video yake mkuu jouneGwalu ...Uwe na weekend njema!!!
Usingizi umekimbia BJ!? au unasafari? maana ni mapema hata majogoo hayajawika lol!
Acha tu BAK .Nilikuwa outing na friends yaani tumerudi alfariji, he he...nikaunga kusoma JF kabla sijalala!!
Halafu jioni hii nataka niwatch Les Misérables..muziki kwa sana nimesikia!!
Hii ni kati ya movie chache alizoact Tom Hanks nilizozipenda (Nyingine ni Saving Private Ryan, You've got a mail & Catch me if you can)..mpaka leo ninayo kwenye movie library yangu...!
Thanks kwa kukumbushia na kwa hii video yake mkuu jouneGwalu ...Uwe na weekend njema!!!
nipe pole rafiki......Hongera zako umeshakuwa addicted na hii kitu.
huo ugonjwa mbaya sana....Pole kwa kuwa na huu ugonjwa mbaya wa addiction naona kuna haja ya kufikiria kwenda rehab sasa lol!
Hii sinema niliipenda sana......
hii sijawahi kuimaliza.........
IMO one of the best movies this year, but ladies please guard yourselves with a box full of tissue papers.
Hii sinema niliipenda sana......
kumbe watu wapo sensitive sana na issue za watoto wao! kuambiwa simu inatoka shule kwa watoto tu kila kitu kilisimama, lol!
Thanx BAK for recommending.......
Kitu cha ajabu sana nakumpenda kote Tom Hanks na kuziona movie zake nyingi zikiwamo hizo ulizozitaja, Hii Green Mile nilikuwa sijaiona asee....
January kuna mtu akani-recommend kule IMDB, basi nikaitafuta nikaipata, cha ajabu kuna hisia zinanijaa sana kila nikiikumbuka aisee!
Poa wangu, Week end njema na wewe pia....
Kwenye library yetu ongezea The Prestige ya Christian Bale na Jack Hughman. Ila najua utakuwa unayo, we mkareee!
Thanks Bj!
Hello jouneGwalu, hope umeshaiona Green Mile..ni nzuri kama ukiipata. nili-over look kukujibu hii thread, my bad!!
Hiyo The Prestige tena bado ninayo kwenye collection yangu..Thanks, tuendelee kushtuana kwenye uwanja huu wa movies. Pamoja sana besti!!!