Kudadadeki
Member
- Oct 7, 2010
- 70
- 3
Wakuu, sijamsikia kwa muda sasa mtangazaji wa East African Radio Mussa Hussein.
Binafsi, nakifuatilia kwa ukaribu kipindi cha "Super Mix" (9am- 1pm weekdays). Siku za karibuni kipindi hicho kinaendeshwa na Comedian Zebwela na somebody Baruti (Shalobalo), je wana jamvi, kuna yeyote out there anayejua updates za Mussa ?
Nawakilisha !