Mussa Hussein (East African Radio/ TV)

Kudadadeki

Member
Oct 7, 2010
70
3
Wakuu, sijamsikia kwa muda sasa mtangazaji wa East African Radio Mussa Hussein.

Binafsi, nakifuatilia kwa ukaribu kipindi cha "Super Mix" (9am- 1pm weekdays). Siku za karibuni kipindi hicho kinaendeshwa na Comedian Zebwela na somebody Baruti (Shalobalo), je wana jamvi, kuna yeyote out there anayejua updates za Mussa ?

Nawakilisha !
 
Wakuu, mbona hamchangii hii thread ???

Kama hii thread ni "Scrap", then tell me so.....

It will be great feedback and nitapost thread mnazozipenda eg, mabinti kukaa uchi/ kutovaa kufuli, kufumaniwa/ kufakamiwa etc.
 
Kijana,
Nakuonya acha matusi!
Hapa si Uswazi ...right?
Heshimu wanajukwaa ili uheshimiwe!...Next time sitakuvumilia.
 
wakuu, mbona hamchangii hii thread ???

kama hii thread ni "scrap", then tell me so.....

it will be great feedback and nitapost thread mnazozipenda eg, mabinti kukaa uchi/ kutovaa kufuli, kufumaniwa/ kufakamiwa etc.

ukiona hivyo ujue huyo mtu siyo celeb kwani kuonekana katika tv ndo uceleb...basi yule mzee wa itv kipindi cha huduma ya kwanza tungemjua wote......
 
Wakuu, sijamsikia kwa muda sasa mtangazaji wa East African Radio Mussa Hussein.

Binafsi, nakifuatilia kwa ukaribu kipindi cha "Super Mix" (9am- 1pm weekdays). Siku za karibuni kipindi hicho kinaendeshwa na Comedian Zebwela na somebody Baruti (Shalobalo), je wana jamvi, kuna yeyote out there anayejua updates za Mussa ?

Nawakilisha !

Mhh ni nani huyu bwana? Mussa Hussein?
 
Wakuu, mbona hamchangii hii thread ???

Kama hii thread ni "Scrap", then tell me so.....

It will be great feedback and nitapost thread mnazozipenda eg, mabinti kukaa uchi/ kutovaa kufuli, kufumaniwa/ kufakamiwa etc.

Hapana ni swali zuri lakini huenda na wengine hawajui kama mimi na wewe ndio maana hawajajibu
 
quote_icon.png
Originally Posted by Kudadadeki
Wakuu, mbona hamchangii hii thread ???

Kama hii thread ni "Scrap", then tell me so.....

It will be great feedback and nitapost thread mnazozipenda eg, mabinti kukaa uchi/ kutovaa kufuli, kufumaniwa/ kufakamiwa etc.

Kijana,
Nakuonya acha matusi!
Hapa si Uswazi ...right?
Heshimu wanajukwaa ili uheshimiwe!...Next time sitakuvumilia.

Du, PJ acha vitisho.... Wayajua matusi weye ???
 
Hii sio JF niijuayo, ingekuwa ile niijuayo ungeshapata jibu muda mrefu wa maswali yako. Mussa Hussein alikuwa presenter pia kipindi cha USWAZI cha EATV, pia EA Radio. Ameacha kazi kwa sasa. sijui yupo wapi hata mimi.
 
Ukiona kimya hivi mkuu ujue kuw huyo mti si celeb kihivyo
 
Ukiona kimya hivi mkuu ujue kuw huyo mti si celeb kihivyo

Kwani Tanzania tuna maceleb kihivyo????? Hatuna A list Celebrities hapa...... We start form W I think...... Kwa hiyo na huyu jamaa is among hao.... kwa waliokuwa wanaangali East African TV au Radio watakuwa wanamjua
 
As the Great Thinkers........ tumem let down kudadeki ameuliza swali 17th Dec. na leo 23rd. Hakuna Jibu..... Hapa kuna wengi hakiharibiki kitu... kwahiyo hata mtu angemuulizia mtu ambaye hajulikani kabisa kutoka redio ya mbao huko kijijini inabidi watu wangemjua na kumpa mtu jibu...., So in short we have failed on this...,
 
Wewe mwenyewe ndo Musa husein,, unataka kujua kama ushakua celeb.
Hatukufahamu.

JF bwana, hahahahahahaha hii nayo kali? hivi inawezekana huyu jamaa akawa ndio yeye? anataka kujua kama yeye ni Celebu? Ama kwa hakika kazi ipo!
 
Hili swali sijapata niko sirias mwenye kujua aliko atuleze manak kile kipindi chao cha ea radio ck hiz hata hakinipi nilijaribu kuwapigia cm niwaulize nilivyojibiwa nkaona hapa kuna shari tu!
 
mimi huyo anayeuliziwa simjui lakini nataka ku comment on Zembwela kuwa mtangazaji wa radio, ni jambo la kuchekesha na la kinyaa, hii inaonyesha ni jinsi gani hawa jamaa wa IPP media wamechoka, huyo zembwela hajui kitu elimu ndogo sana, exposure sifuri sasa ukisikia akijaribu kumhoji mtu na kuchambua hoja ndio utajua ni namna gani IPP inaendeshwa kwa mazoea na viongozi waliokosa upeo. Hali kadhalika kipindi cha 45 minutes kipindi kizuri lakin hawana presenter kabisa, nasikia viongozi wao wanaendekeza kuabudiwa na ubabe badala ya utaalamu. kwa kweli hawana content kabisa hawa jamaa mimi hata leo hii ukiniambia ni kipindi gani kizuri kwenye hii media siwezi kukujibu zaidi ya hivyo vipindi vya msimu vya majadiliano ya katika vinavyoendeshwa na watu wa nje ya kituo. Lazima mama `joyce abadilishe namna y uendeshaji wa hivi vipindi ama sivyo hata hiyo taarifa ya habari iliyoshehena matakwa ya mengi yenye kigeugeu kibao yatatushinda. Mlimani TV kwa sasa wako juu kwa habari kuliko wao wameendekeza mapambano na Clouds TV badala ya kufanya tofauti, huko EATV ndio kabisa Regina na shoga yake Lidia wanajua wenyewe wanachofanya,
 
Ndondo umewahi kusikiliza hicho kipindi anachotangaza Zembwela na Baruti kati ya saa3 asubuhi hadi saa 7 j3 hadi Ijumaa? nadhani bado hujasikiliza. Binafsi nimeshangaa kusikia kutoka kwako kuwa kumbe zembwela hana elimu ya kihiivyo! naomba nikushauri uanze kusikiliza kuanzia leo halafu uje uandike tena comments kwenye hii hii thread. Na ufanye tathmini ya kina kwa kulinganisha maudhiui na mantiki ya kipindi cha Zembwela ( kinaitwa super mix) na vipindi vingine vinavyorushwa muda kama huo katika redio nyingine, na pia vipindi vya aina hiyo kutoka redio nyingine kwa masaa mengine ya siku. Siongelei vipindi vingine vya redio hiyo au vyombo vingine vya IPP, naongela hiki cha Zembwela. Sikuambii analysis yangu, nina imani wengine watachangia na wewe mwenyewe utakuja kuchangia tena kama ni mtenda haki na unajali maadili ya kutoa maoni bila upendeleo. Mnyonge mnyongeni...... tena yuko hewani sasa hivi tune 87.8 fm
 
Wakuu, mbona hamchangii hii thread ???

Kama hii thread ni "Scrap", then tell me so.....

It will be great feedback and nitapost thread mnazozipenda eg, mabinti kukaa uchi/ kutovaa kufuli, kufumaniwa/ kufakamiwa etc.

Una matatizo wewe..sasa kama ulikuwa huna uhakika na thread yako ulipost ya nini...?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom