Jamani watanzania acheni uvivu wa kufuatilia mambo....
MUSOMA SEKONDARI ni shule ya zamani sana ambayo Pinda na makamu mkuu wa chuo cha UDSM wamepitia!
Mara sekondari ni shule nyingine!
Musoma sekondari ni maarufu kama Musoma alliance jina la zamani enzi za uhuru....au musoma technical kwa kuwa o-level wanatoa masomo ya ufundi inline kama Tanga tech,Mazengo,Bwiru boys,Ifunda tech,Moshi tech,Arusha tech and others!