Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,537
- 4,435
Akitoka apite Dv8 na laliga nyasaka centremkuu njoo buzuruga kuna kijiwe kinaitwa DV8 hutojuta kwani kuna misambwanda ya hatari.......
Akitoka apite Dv8 na laliga nyasaka centremkuu njoo buzuruga kuna kijiwe kinaitwa DV8 hutojuta kwani kuna misambwanda ya hatari.......
Aah,, DV8 ilikua zamani bhana,, ilivyokarabatiwa tu basi kwisha habari yake,, watu tumehamia Bundesligamkuu njoo buzuruga kuna kijiwe kinaitwa DV8 hutojuta kwani kuna misambwanda ya hatari.......
Mkuu nilifanya hivyo pako poa ila pamepoa labda nitarudi weekendChukua boda nenda matvila Beach ukapunge upepo
OK poa na panahitaji uwe na mtu wako kuleMkuu nilifanya hivyo pako poa ila pamepoa labda nitarudi weekend
pale Palm Beach wanapika kitimoto kizuri sana....
kama unapenda mpira mativila hotel pazuri
kama club pale club house pazuri
kama unataka kutulia kuna tembo beach :kuna mativila beach kuna bwalo la Polisi
misosi kuna keryo kuna msonge pia
malaya njoo apa nyuma ya maakama ya kitaji kuna bar nmeisaau jina "malaya kama wote
hizo ni Sehem maarufu na nzuri kwa upande wangu ila kikakitukipo so ni wewe tuu
Musoma siku hizi pia kuna malaya....
Nitakuwa wa mwisho kuamini...