xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,301
- 5,379
npo kibiti ila musoma om and napaelewa sanaMkuu upo pande zipi tuonane
we endelea kurukaruka kwe mawe apo

npo kibiti ila musoma om and napaelewa sana
we endelea kurukaruka kwe mawe apo
si yaapo mativila beachMawe tena yapi mkuu!?
si yaapo mativila beach
Hapana.Vipi na wewe ni mzawa wa tarime au musoma?
Ni free tu ni Beach na huduma zote zipo hakuna kiingilioKwani kuingia kuna ghalama sana au?
Sawa sawa nitapajuajeNenda Mwisenge kati hapo pako poa sana
Ni free tu ni Beach na huduma zote zipo hakuna kiingilio
Ni Bweri stand au Bwiru stand mkuu?Nenda,
- Bwiru stand
- Tembo beach
- Peninsula beach
- Mtakuja street
- Mwigobero
- Mara, Musoma tech.
- Songe sec. school
Typo.Ni Bweri stand au Bwiru stand mkuu?
Nenda shule ya msingi mwisenge uombe kuonyeshwa dawati alilokuwa akikalia Mwl. JULIUS KAMBARAGE NYERERE wakati wa kusoma kwake shuleni hapo,
Nenda Makoko Jeshini ujionee kambi kubwa ya jeshi ilipo ila usije ukakojoa jirani na kambi maana wajeda watakugawana, hata hivyo ni outdated kambi ya kijeshi ambayo haina kifaa chochote chenye teknolojia ya maana.
Nenda eneo la kigera ujionee miji ambayo wanafamilia wake 17 waliuawa mwaka 2009/2010 na watu waliodhaniwa kulipiza kisasi. Ktk mauaji hayo kuna mtoto mmoja tu aliponea chupuchupu, akachukuliwa na serikali.
Kisha nenda mtakuja kuna shimo la ajabu katikati ya miamba ambalo haijulikani lilichimbwa na nani, mwaka 2009 lilibainika baada ya kudhaniwa misukule kutokea kwenye shimo hilo.
Baada ya hapo, ukiwa uko salama bila jeraha basi tafuta lodge ya kupumzika ambayo ipo kwenye laini moja ya umeme na mji wa mkuu wa mkoa maana laini ya mkuu wa mkoa haikatiwagi umeme hovyo.
Ikitokea umepata jeraha lolote bhasi nenda haraka hospitali binafsi maana utahudumiwa haraka na kwa ufanisi, hospitali hizo ni Kada dispensary ipo mkendo na Manga dispensary ipo iringo karibu na NBC main Branch.
Siku utakayokuwa unarudi mkoa ulipotoka pita standi ya zamani ya musoma mjini ujionee eneo ambalo lina mahandaki mengi kwa chini.

Typo.
Ni Bweri.
Bwiru iko Mwanza.
Ngoja nikae hapa niwasikilize wakulya, hawapendi uongo hawa, ukiwadanganya hawachelewi kukukata mapanga