Musoma: CCM yaizawadia Shule kengele ya Kisasa

Musoma: CCM yaizawadia Shule kengele ya Kisasa

Labda kaona hakuna Kengele na nadhani Kengele hii inafanya kazi kuliko hata ya umeme ambayo baadhi ya watu wanasema angetoa (Je umeme ukikatika jambo ambalo ni la kawaida kwa hii nchi ya giza)
Mentality ya hovyo kabisa,

Ring tena used ndilo la kukabidhi kwa maonyeso mbele ya camera?

Si bora hata angempa Mwl. Mkuu Tshs 15000 akanunue mwenyewe kuliko hiyo fedheha.

Hilo jimbo halina watu wenye utashi hata wa kumshauri?
 
1675271774114.png


Tuseme ukweli mbele za Mungu huyu karogwa si bure
 

Attachments

  • 1675271774711.png
    1675271774711.png
    311.2 KB · Views: 13
Halafu wewe Ahmad Abdurahman unaonekana dhahiri ni mtoto wa Kinana,una-sound kisiasa siasa sana.

Nikuulize,unadhani rim used ya Fuso inafaa kweli kuwakusanya watoto wa maskini kuja kumpigia makofi mbunge?huu ni udhalilishaji kwa nchi hayo makengele watu wameacha kutumia 19 century huko leo wapo digital wewe upo hapa unasema kwa sababu ni mali ya ccm,ndo mtujengee sifa mbaya duniani?

Grow up!!!
Sifa mbaya duniani? Mna sifa gani nzuri hadi ziharibiwe?
Point ni moja tu, unampangiaje mtu vitu vya kuweka kwake na hadi ukataze watoto kumpokea baba yao?
 
Mentality ya hovyo kabisa,
Ring tena used ndilo la kukabidhi kwa maonyeso mbele ya camera!!!?
Si bora hata angempa Mwl. Mkuu Tshs 15000 akanunue mwenyewe kuliko hiyo fedheha
Hilo jimbo halina watu wenye utashi hata wa kumshauri?
Maonyesho ya Camera ?!!!! Karne hii kuna maonyesho ya Camera ambapo kila mtu ana Camera kwenye simu yake ?

Kwahio unataka kusema kwamba RIM ikiwa used haitoi mlio ?!!! Au Kengele ni nini ? na Kazi yake ni ipi na inafanyaje kazi ?

Kinacho-matter ni end result watu kusikia kila kona na hizi RIM zimekuwa proven since begging of time (Simple and Effective)

Kama nilivyosema mwanzo wala hili halikupaswa kuwa news / kuonyeshwa kama vile zawadi yoyote ile sio ya kuonyesha wala kutangaza lakini effectiveness ya RIM kama shule ilikuwa haina hii itafanya kazi perfect (and in the theme of recycling and being environmental friendly ninawapongeza)
 
Back
Top Bottom