Muslims join Jews for Christmas Day

Haya ..

inaendelea hapa
..
 
Aaah,

Ukiingiza hiyo mitabu obsolete ya barbaric antiquity naelewa exactly kwa nini unashindwa kuona issues in their true light.

The lens you are using is clouded, how can you see things in the right perspective?
 
NB: Dozi inaendelea..kutwa x5.
I thought that you were serious!
But what can you expect from someone who believe this:?:
Sanhedrin 54b. A Jew may have sex with a child as long as the child is less than nine years old".
Yebamoth 59b. A woman who had intercourse with a beast is eligible to marry a Jewish priest. A woman who has sex with a demon is also eligible to marry a Jewish priest".
 
91. Ama mimi nimeamrishwa nimuabudu Mola Mlezi wa mji huu aliye ufanya ni mtakatifu; na ni vyake Yeye tu vitu vyote. Na nimeamrishwa niwe miongoni mwa Waislamu, wenye kunyenyekea. ***

92. Na niisome Qur'ani. Na mwenye kuongoka, basi ameongoka kwa faida ya nafsi yake; na aliye potea - basi sema: Hakika mimi ni miongoni mwa waonyaji. ***
93. Na sema: Alhamdu Lillahi, Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu. Yeye atakuonyesheni Ishara zake, na mtazijua. Na Mola wako Mlezi si mwenye kughafilika na myatendayo. ***

Mara nyingi sana hwa nacheka hawa ndugu zetu wagalatia. Surat An Naml. Sijui anadai nini hapo. Kwani kila kitu kipo black and white.Naona mwenyewe anajichanganya.

Sasa ukitaka kuelewa vizuri hiyo tafsiri soma web hii http://www.quranitukufu.net/
 
Unajuwa ALHAJJ Hafif, katika historia ya Uislam, MMajusi (Magician) aliingia katika Islamic State Madinah na kumuua Khalifa Umar Ibn Khattaab (May Allah be pleased with him) katika swala.
Ni kwa nini? kwa sababu Waislamu walikuwa na dhana nzuri kwake (alijifanya ni Muislamu), wakamuachia akaingia katika nchi ya Kiislam, akachananyikana na Waislamu,mwisho na matokeo yake yalikuwa ni yeye Mmajusi kumuua Khalifah katika swala!
Kuna fundisho kubwa sana katika kisa hicho, ndiyo maana ni muhimu sana kumu expose mnafiki! otherwise matokea yake ni mabaya sana.
 
Hivi unaelewa kinachozungumziwa?? he he..kukamua kinyesi maiti kunakufanya uwe zezeta.
 
Hivi unaelewa kinachozungumziwa?? he he..kukamua kinyesi maiti kunakufanya uwe zezeta.
Ngoja nimueleweshe:
Unajuwa ALHAJJ Hafif, katika historia ya Uislam, MMajusi (Magician) aliingia katika Islamic State Madinah na kumuua Khalifa Umar Ibn Khattaab (May Allah be pleased with him) katika swala.
Ni kwa nini? kwa sababu Waislamu walikuwa na dhana nzuri kwake (alijifanya ni Muislamu), wakamuachia akaingia katika nchi ya Kiislam, akachananyikana na Waislamu,mwisho na matokeo yake yalikuwa ni yeye Mmajusi kumuua Khalifah katika swala!
Kuna fundisho kubwa sana katika kisa hicho, ndiyo maana ni muhimu sana kumu expose mnafiki! otherwise matokea yake ni mabaya sana.
 
Hii post inahusika vipi na post yangu?? lolz..kuwa mfuasi wa pedofile inahitaji uwe na akili kama hizi.. 😀
 
Sasa jamani mbona mnapinga kila kitu!
nyinyi mnapenda kuiga sana lkn vitu vingine haviigwi kabisa,
 
Hii post inahusika vipi na post yangu?? lolz..kuwa mfuasi wa pedofile inahitaji uwe na akili kama hizi.. 😀
Hawa ndio wafuasi wa Pedofile:
Sanhedrin 55b. A Jew may marry a three year old girl (specifically, three years "and a day" old).
ANyway, Nilikuwa nikimkumbusha ALHAJJ Hafif hii historia:
Unajuwa ALHAJJ Hafif, katika historia ya Uislam, MMajusi (Magician) aliingia katika Islamic State Madinah na kumuua Khalifa Umar Ibn Khattaab (May Allah be pleased with him) katika swala.
Ni kwa nini? kwa sababu Waislamu walikuwa na dhana nzuri kwake (alijifanya ni Muislamu), wakamuachia akaingia katika nchi ya Kiislam, akachananyikana na Waislamu,mwisho na matokeo yake yalikuwa ni yeye Mmajusi kumuua Khalifah katika swala!
Kuna fundisho kubwa sana katika kisa hicho, ndiyo maana ni muhimu sana kumu expose mnafiki! otherwise matokea yake ni mabaya sana.
 
Nashukuru Sana kwa kunikumbusha na nafikiri litakuwa somo zuri sana Kwetu sote katika kuwabainisha hawa wanafiki.

Allah akuzidishie Hikma na busara na ilmu na kukukithirisha katika kufanya mema.
 
Hii post inahusika vipi na post yangu?? lolz..kuwa mfuasi wa pedofile inahitaji uwe na akili kama hizi.. 😀

Je wajua kuwa Yesu aliBAKWA? soma hapo

Luke 22 :63 Wale watu waliokuwa wanamchunga Yesu, walimpiga na kumdhihaki.
64 Walimfunga kitambaa usoni, wakawa wanamwuliza, "Ni nani aliyekupiga? Hebu bashiri tuone!"
Mathew 26: 67 Kisha wakamtemea mate usoni, wakampiga makofi. wakamkanyaga na Wengine wakiwa wanampiga makofi,

Kwa Soo hilo ndipo alipoamua kusepa hapa Duniani.
 
Naona povu limekujaa mpaka unaanza kutukana hata Yesu mnayedai ni nabii wa kisilamu..he he he..endelea ..maana kujizonga alianza allah, mola wenu. Na matusi mlifuzu kutoka babu yenu ibilisi na nabii wake Mwamedi. Mi kazi yangu ni nyepesi tu, kuwakabidhi ujumbe na kuwaachia mchambue wenyewe kwa wakti wenu..

Inshallah ntarejea kuendelea kugawa daawa.

wabillah tawfiq.
 
Sikutoa kinywani mwangu bali ni andiko kutoka kwenye Bible.

Ina maana unalikana andiko hilo?
 
HM HAFIF...........I didnt expect one day you would define bible kwa maneno ya mtaani, ya kihuni............... LOOK AT THE SAME QUOTE IN ENGLISH......AND TELL US IF IT HAS THE SAME MEANING YOU WANT US TO BELIEVE.....

"Luke 22:63-23:25 —

63 The men who were guarding Jesus began mocking and beating him. 64 They blindfolded him and demanded, “Prophesy! Who hit you?” 65 And they said many other insulting things to him."

UZUSHI UNAOLETA UTAKUGHARIMU SIKU MOJA KWA MUJIBU WA IMANI YAKO.............SIDHANI KAMA IMANI YAKO INAKURUHUSU KUZUA, KUSEMA UWONGO .....................

IT IS HARD TO BELIEVE THIS IS COMING FROM THE SO CALLED "GRITI THINKA"

HAYO NDO MATATIZO YA KUSIKILIZA SANA NYIMBO ZA BWA'CHUCHU NA KUHUDHURIA MIDUARA............
 
sikutoa kinywani mwangu bali ni andiko kutoka kwenye bible.

ina maana unalikana andiko hilo?
maana ya neno unayotaka tuamini umeitoa kinywani mwako..........and one day you will be held responsible for what you have said............

hayo ndo matatizo ya kusikiliza sana nyimbo za bwa'chuchu na kuhudhuria miduara............
 
Sikushangai kwani Hata Petro alimkana Yesu. soma hapo Methew 26:31 mpala 34.

31Kisha Yesu akawaambia, ``Usiku wa leo kila mmoja wenu atanikimbia kwa maana Maandiko yanasema, `Nitampiga mchungaji, na kondoo wote wa kundi lake watatawanyika.' 32Lakini baada ya kufufuka, nitawatangulia kwenda Galilaya.''
33Petro akasema, ``Hata kama wote watakuacha, mimi sitaku acha.''
34Yesu akamjibu, ``Ninakuambia kweli, usiku huu huu, kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.'' 35Lakini Petro akasema, ``Hata kama itabidi nife pamoja na wewe, sitakukana.'' Na wana funzi wote wakasema hivyo hivyo. Pitia Web http://www.biblica.com/bibles/swahili/
 
Hivi ninitofauti ya Jews na Christians?.

Hivi Yesu alikuwa Jew au Christ? Naomba andiko toka kwenye Bible kufafanua hilo

Ni sawa na kuuliza kama kuna tofauti kati ya Maarabu na Uisilamu?!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…