Hatari kwa Mtanzania aliyezaliwa na Dini za Mababu zake na Maanisha MIZIMU kupalamia dini za Mashariki ya Mbali yaani UISLAM na UKRISTO na Kuziandalia Mikakati ya Kumalizana kati yetu Watanzania!, isitoshe wenye Maslahi na Dini zao ni Palestina na Israel na sisi wengine ni Magamba tu kwao! Mimi bado Hizi hoja za Kitoto hazina Maana wakati Chama cha Magamba kinazidi kututafuta kila Kukicha! Na wewe uliyeleta Hoja zisizo na Maslahi kwa Taifa kwa wakati Huu acha Ujinga na Ushenzi, nini Watanzania tunataka Mabadiliko kwanza na vingine Baadae! Uislam au Ukristo utakusaidia nini wakati umekaa unasubiriwa Kupandishiwa Umeme na Maji Huku Mishahara ikizidi kuwa Hafifu na tayari Mafuta yamepanda! Wewe na Hoja yako Pumbavu sana sisi tunataka Kusikia Kelele za Viongozi wetu Wapendwa kama Mufti wa Tanzania Simba, Kardinal Pengo, Mkuu wa K.K.K.T,Mkuu wa Anglican, wanazungumzia kwanza Maslahi ya Taifa na Kupambana na Ufisadi na si Kuwa Vibaraka wa Mafisadi, sasa umetoka na Njaa zako za Bila hata kujua Waislamu wako kwenye Mfungo unatuletea Mambo ya Kishenzi hapa Jamvini,Stupid sana!