Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Wadau naomba kujua, Muslim Universities zipo kwenye nchi gani zingine mbali na Tanzania?
Na zenyewe zinaendeshwa kama huku kwetu Tanzania kwamba hata enrollment imekaa kibaguzi?
Waalimu wao wana sifa zipi au kama huku kwetu Tanzania ambapo karibu wote ni toutorial assistants.
Na wao wana majengo ya kupewa au wamejenga ya kwao?