ahahaaa utakuwaje hujui Quran ila uwe muislam sasa?....sasa sikiliza mimi mkristu na nitatafuta watoto hukuhuku,naamini nna sifa zaidi ya wengi humu,labda muweke vipengele vya upendeleo km kujua Quran!,
Kwanza suala la picha ni muhimu kuliko yote uliyoandika hapo!
kwani kuna shida gani sio watu wote wapo mle acheni uchochezi jamani
Kama ungejua nakusaidia wewe ili uzi wako usichafuke na kufungiwa ungenishukuru badala ya kuniita mchochezikwani kuna shida gani sio watu wote wapo mle acheni uchochezi jamani
mbona thead zako za ushirikina hazitolewi?
ufungiwe kwani nimekosea nini?Kama ungejua nakusaidia wewe ili uzi wako usichafuke na kufungiwa ungenishukuru badala ya kuniita mchochezi
SHIDA IPO WAPI MKUU?
Nadhani una tatizo la uelewa hebu soma kwa makini nilichoandikaufungiwe kwani nimekosea nini?
Dah kweli, mshana kama mganga wa kienyeji vilekwani kuna shida gani sio watu wote wapo mle acheni uchochezi jamani
mbona thead zako za ushirikina hazitolewi?
teh jaza fomu hapo juuweweeee embu waulize hao ma
binti,,,,,nina maisha mazuri tuu sina vishida vidogovidogo..kausafiri kapo na nyumba..akitaka kufunguliwa biashara poa tuu ilimradi awe tayari kua na mm
sina huo muda bwanaFanya kama kutengeneza document yenye hizo questionnaires??? Tupia humu tudawnload hilo form
hahaha fanya mpango uende zenjim
imi ni mkristo ila napenda nioe mabinti wa kiislam especially wale wanaotokea zanzibari...awe mweupe mnene .....nisaidie
ulibakwa ? ulitoa kwa hiari mchepuko au vipi ?Mi sio bikra ila cjui sbb. Naqualify?