Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,432
Kwa mtizamo wangu unaqualify,Mi sio bikra ila cjui sbb. Naqualify?
Kwa mtizamo wangu unaqualify,Mi sio bikra ila cjui sbb. Naqualify?
AhsanteKwa mtizamo wangu unaqualify,
ni kuwa tu na imani mkuu siwezi mkosea mtu kiivo sio fairThread nzuri na inamake sense,wasiwasi wangu ni ipi confidentiality ambayo mhusika anaekutumia details anaipata,unamhakikishiaje huwezi kumisuse info na details zake?
naamini tutafanikiwa mkuuVery good initiative. Ikileta ndoa una fungu la thawabu kwa kila kheri waifanyayo ktk ndoa na maisha yao. Jazakallah khair
ufungiwe kwani nimekosea nini?
wazee wa kijitenga katika ubora wenu...mnaikurubikia zinaa
kijitenga ni kijiji kinachofuata ukitoka mtangimbole,ni mbele kidogo tu ilininda.Kijitenga ndiyo nini?
Unaanza kuchokoza watu eenh?cc FaizaFoxy
swissme
do you know the meaning of CC;Unaanza kuchokoza watu eenh?
Si umemtumia copy bro au?do you know the meaning of CC;
Swissme
Apiya!!inaelekea wewe mdau wa hayo mambo maana toka asubuhi unawaza hayo tu ninazo bikra zote