sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
Ukraine kulikuwa na machafuko, watanzania wakapata shida.
South Africa wakati wa mapigano dhidi ya wageni.
Libya na Misri vivo hivyo.
Serikali haijawahi kujali maslahi ya wananchi wake.
Tunaishi kama tupo mbugani.
Halafu wanakuja watu hapa na kuuliza ooh ati waliaga wakati wa kuondoka..! Yaani hajui kesho anaweza kuwa ni ndugu yake ambae atakumbwa na tatizo kama hilo.. Inakera sana hii Mkuu..