Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,158
- 9,181
Kama ni watanzania walienda kihalali serikali ingeshatoa tamko hao wanajijua wenyewe.Si kila asemaye mtanzania ni mtanzania.Inawezekana baada ya kudakwa na FDLR wanajitia watanzania ili waachiwe kwa kuwa FDLR inaogopa sana watanzania.Watajuana wenyewe na hao FDLR waliowadaka
Ni kweli kabisa. Taratibu lazima zifuatwe....after all kuhubiri dini sio kitu kibaya. Ubaya ni kutumia njia haramu kufika huko kama kweli ndio walivyofanya.