hii mpendwa the most Tiba ubuheri? dadangu huu mtindo hauruhusiwi kwenye kitabu. "ila ni chimbuko la uzushi wa kisasa duniani" Baadhi ya waisilamu tuu ndiyo wanajiridhisha furaha za hizi.Hii Kitu inaruhusiwa kwenye kile kitabu kilichoshushwa kutoka mawinguni?
Tiba
FaizaFoxyJamani Tanzania nani alituwakilisha?
Mpendwa kennedy, hiyo event ni moja kati ya maonyesho mbalimbali hufanywa na baadhi, tena baadhi ya waisilamu katika jamii au kimataifa.!! Haihusiani na kitabu ila baadhi ya waumini hawaafikiani this is between themselves.Mmh
Nadhani ingekuwa ni lugha ya Swahili
ningesema neno limetoholewa
Miss kweli kwa mujibu kile kitabu huwa
hairuhusiwi.
Waje wale wanajua zaidi watujuze.
Mkuu haina Noma ni baadhi ya wisilamu huiga na wengine hawana habari na maonyesho au mitindo mbali mbali " its not a big DEAL "Hawa nao kwa kuiga! ona sasa wanaiga yale wanayoyapinga hadi wanapitiliza........
(liwalo na liwe najua watakuja na tindikali humu)
Hawa nao kwa kuiga! ona sasa wanaiga yale wanayoyapinga hadi wanapitiliza........
(liwalo na liwe najua watakuja na tindikali humu)
Jamani Tanzania nani alituwakilisha?
Mbona unajihami mapema ha!ha!ha!