Musikilizeni Mbunge huyu. Ni maelezo mazuri kwa wanaojiita wataalamu

Patriot

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
5,698
4,693
Hii iko Youtube. Ni mchango ambao unaanza kama mzaha, lakini unaeleza mambo serious kwa wataalamu walioko maofisini

  • Thanks
Reactions: MTK
Hii iko Youtube. Ni mchango ambao unaanza kama mzaha, lakini unaeleza mambo serious kwa wataalamu walioko maofisini

Mzee Kishimba ukimfuatilia vizuri hoja zake utampenda, kama utani vile lakini anashusha mantiki nzitonzito sana. Nakumbuka hoja yake ile kuhusu elimu, kwamba sio ufunguo wa maisha tena bali ni "Kifungo cha maisha"!!! Asante kwa kushare
 
Back
Top Bottom