Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,113
- 34,071
Habarini Wadau,
Kuna huu mfumo wa Employee Self Service (ESS) ambao serikali ilitangaza kuwa Watumishi wote wa umma wanapaswa kujisajili humo na kuratibu mambo yote kwa kutumia mfumo huo
Tulishapewa semina mara moja Ofisini na akiwepo DMO, Meneja wa TANESCO, Watumishi wengine wa Afya na Waalimu kuhusu mfumo huo, ila sasa tumebaki tumehang tunasikia tu ni lazima watumishi wa secta za umma kujisajili bila hivyo watakosa salary yaani kutishana tu na blah blah zingine
Wengi tulijisajili lakini hakuna hatua nyingine inayoendelea baada ya kujisajili, labda kwa Waalimu sijui
SWALI, Ni kwanini Serikali isiwaite wataalamu wa IT / ICT kutoka kwny taasisi hizi na kuwatrain ndani ya muda mfupi kisha na hao wakaja kutoa mwongozo katika hili maofisini?
Kwanini Serikali hii inapenda kuprolong mambo bila sababu za msingi?
Au ndio hela zinaliwa hivyo
Serikali iwe serious