Jomla
Member
- Sep 25, 2011
- 79
- 69
habari zenu wandugu,kwa kweli wandugu nina ndoto ya kuja kuwa muandaaji bora sana wa music ila wapi chuo bora cha music production au nani ana mautundu haya nipate kufunguliwa 2 akili kidogo coz hii n ndoto yangu toka mdogo sana. Nipo arusha na nimezunguka sana bila mafanikio na nimemaliza six mwaka huu.msaada please wakuu.